Friday, May 16, 2008

CCM Bangalore, IndiaKIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!

CCM JUU,JUU, JUU ZAIDI!
CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI YAJENGA NCHI!

6 comments:

Anonymous said...

Abdalla Issa aliimba "mahulukutabi" mie nasema "mahayawani hawa" Ukiskia fungu la zero ndo hao....!

Anonymous said...

Huu ni upumbavu wa hali ya juu , hivi kweli vijuana hawa walioko nje pamoja na exposure yote bado are clinging to CCM ?

Anonymous said...

Ni njia ya kujihakikishia wanaendelea kupata ruzuku ili waweze maliza skuli zao.Sasa kama wao ndio walikupeleka lazima uwaabudu

Anonymous said...

mh

Anonymous said...

Chemi sasa hapo dada yangu unataka kuharibu Blog yako, haya mambo ya CCM achana nayo

Anonymous said...

sidhani kama mtu anachaguliwa kitu cha kufanya katika maisha yake, kupenda chama na nchi yake ni uzalendo na ujasiri mkubwa, wengi wenu hapa ni nyie ambao mnakukana hata kwenu mlikotoka. vijana endeleeni nyie ndo viongozi wa baadae, upinzani na nyie tafuteni wanachama sehemu mbalimbali za dunia achananeni na wabeba box,