Monday, May 12, 2008

Morogoro Hotel
Hapo Morogoro Hotel pazuri kweli. Asubuhi unaamka na unapata hali ya hewa safi kutoka mlimani. Morogoro mji kasoro bahari!
Kujua zaidi kuhusu Morogoro Hotel Bofya Hapa:

3 comments:

sophiasclub.blogspot said...

Du umenikumbusha Moro! asante sana keep it up!

Anonymous said...

napachukia morogoro mimi jamani

Anonymous said...

Da Chemi, Asante sana kwa hii post. Nafikiri utaungana nami ya kuwa biashara ya siku hizi ni matangazo, bila matangazo vitu haviendi ipasavyo. Hoteli kama hizi kama zingekuwa na websites na kutangaza huduma zinazopatikana huko ingekuwa ni vizuri zaidi hasa kwa watu wanaopenda kutembelea sehemu mbalimbali nchini Tanzania. Tatizo ni kwamba utakuta hoteli zile maarufu za Arusha, Mwanza na Dar ndo zinajitangaza na utakuta kuna hoteli nyingi na nzuri tu na zenye hadhi na gharama nafuu tu ambazo hazijulikani kabisa. Hivyo wito wangu ni kwa wale wote wenye biashara hizi za hoteli, guesthouses, na restaurants kutangaza biashara zao kwa manufaa ya wengi. Asante.