Tuesday, May 06, 2008

Tunga Caption!


Wadau karibu mtoe comments kuhusu hii picha iliyopigwa mjini New York.

26 comments:

Anonymous said...

DUH! Anawenda wapi huyo shoga!

Anonymous said...

Miguu yake mizuri. Naona kazifanyia waxing.

Anonymous said...

ni kuchoka na maisha au?lahaula

Anonymous said...

du shoga au lichizi jamani.....

Anonymous said...

mimi naona amefanana na wewe mjadala kwisha

Anonymous said...

ONLY IN ZE WEST!!!!

Anonymous said...

Lol, shoga kwisha kazi! Audhubillah Min Ashwetwain Ul adhim.

Anonymous said...

Mamaaaaa! Huyu akipita mtaani kwetu tunamlamba mboko, heey. Lione kwanza

Anonymous said...

Baaah,somo,chani?

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Mtoto sio rizki...

Anonymous said...

DUNIA IMEKWISHAAAAAA.......

Anonymous said...

its just another way of doing things. It might be unusual to some but its quite okay to others, I guess

Anonymous said...

Perfect body!! a cool dude. I am sure some people had a smile on their faces when they saw him!! Labda atapata a part kwenye filamu da Chemi!!Especially comedy series!!

Anonymous said...

Hilo ni jinil-bahari migongo, linalo geuzwa na binaadamu wenziwe punda likapandwa.

Unknown said...

Caption....."duh sikuhizi mwaya biashara ngumu washikaji waliokuwa wanakuja kunibokoa siku hizi sijui wamehama kijiwe..anyway ngoja nikatize mtaani labda ntaambulia walau"

Anonymous said...

Ila kamechisha jamani!

Anonymous said...

Anon wa 5,38 ukishangaa ya abdallah utaona ya firauni,haha, or vice versa

Anonymous said...

Caption ' Summer fashion show: Catwalk in the park'

Unknown said...

no comment!!!

Anonymous said...

Freedom at last! Freedom at last!

Anonymous said...

Nakubaliana na aliyesema" Mtoto si riziki" au wanasema "Kuzaa sio kupata". Pole zetu tulio wazazi. Tumuombe mungu.

Anonymous said...

mimi ningesema Chemi baada ya kukata weight

Chemi Che-Mponda said...

Anony wa 9:09am, yaani sasa ndo kifua changu na matako yayuke siyo! Sina mandevu mbona au ndo ingekuwa side effects za weight loss. LOL!

Lakini mjue jamaa alipata 'date' hapo!

Anonymous said...

Caption "kwa hara zanguuu mwenye wivu ameze wembe fisadii hiloo naliwahi kulijunaaa"

Anonymous said...

Ukiona mwanaume mzuri lazima ni gay!

Anonymous said...

mimi ndio yule anon wa 12:58 lakini ulivyomjibu huyo mwenzangu hapo chini nimecheka sanaaa kweli huyo anon na chemi mwenyewe aziwatoshi ahh u made my day sweetie.naomba nirudishe comment yangu kinywani du .