Monday, May 12, 2008

Mh. Maua Daftari afiwa na Mumewe!

Hii habari ya kusikitisha sana. Pole sana Mh. Dk. Dada Maua Daftari. Mola akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mola ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. AMIN.

***************************************************************
Kutoka Michuzi Blog:

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji Naibu Waziri wa Mawasiliani Sayansi na Teknoloji Mh. Mauwa Daftari aliyefiliwa na Mumewe huko Nyumbani kwake Oysterbay Dar
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akiongoza sala ya Maiti ya kumsalia Marehemu Mzee Juma Omar Juma Mume wa Naibu waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. Mauwa Daftari aliyefariki dunia usiku kuamkia leo nyumbani kwake Mtaa wa Bongoyo Oysterbay jijini Dar. wa kwanza shoto ni Makamu mwa Rais Dk. Ali Mohamed Shein.

4 comments:

Anonymous said...

Maskini! Pole sana Mh. Maua Daftari. Mungu amlaze mahala pema peponi. Amin.

Anonymous said...

Poleni sana.

Simon Kitururu said...

Poleni sana!R.I.P Marehemu!

Anonymous said...

Nilimwona wiki iliyopita. Katutoka jana tu. Kweli binadamu hatujui tutakufa lini.

Rest in Peace.