Monday, May 19, 2008

Mzungu achomwa kisu moyoni kwenye Mchezo wa Ngono!

Wazungu wamebuni michezo ya ajabu ya ngono. Wengine wanaenda kwa DOMINATRIX, kusudi watendewe.

Sasa kuna mchezo wa kuchukua kisu na kuitumia kuchora kwenye mwili wa mpenzi wako. Wakati huo mko kazini yaani 'juu/chini'!

Huko Ottawa, Canada kuna mzungu alimwomba mpenzi wake achore moyo kwenye kifua chake juu ya moyo wake. Sijui yule dada alikuwa amenogewa na utamu wa tendo mpaka kajisahau, kaishia kumtoboa kifua mpenzi wake na ilichoma moyo! Madaktari walidhani jamaa hatapona lakini ilikuwa si wakati wake na hajambo sasa.

Jamaa anasema bado anapenda mpenzi wake ingawa alimchoma kisu moyoni. Walikuwa mchezoni katika mapenzi! Pia walikuwa wamelewa!

Polisi walimfungulia mashitaka yule dada, na kapewa miaka mitatu 'Probation'Yaani hataenda jela kama hatatenda kosa lingine kwa miaka mitatu.

*****************************************************************************

Canadian pierces lover's heart in botched sex game

Fri May 16, 2008

OTTAWA (Reuters) - A Canadian man who asked his lover to carve a heart-shaped symbol on his chest during a rough sex game almost died when she accidentally pressed too hard and punctured his heart, a newspaper said on Thursday.

The Winnipeg Free Press said the 25-year-old woman had been sentenced to three years' probation after she pleaded guilty to assaulting the man in February 2007.

The 24-year-old man was initially given little chance of survival but made a full recovery and is backing the woman. Both had been drinking heavily and engaging in rough sex when he asked the woman to carve the symbol, the paper said.

Kwa habari zaidi soma:

http://thechronicleherald.ca/Canada/1055957.html

4 comments:

Anonymous said...

Mmmm! jaribu kwa mwanaume wa kiswahili kama hajakutoa utumbo! haangalii mlikuwa mchezoni, mmelewa, bahati mbaya wala nini na kama ni mume wa ndoa na hiyo ndoa imekwenda na maji kama ukinusurika kuuwawa. Na hata kama yeye mwenyewe hatafanya kitu kwa kujua ni bahati mbaya subiri hiyo hukumu ya jamii utakayoipata kuanzia kwenye familia yake mpaka mabarabarani huko mitaani!

Anonymous said...

Hii ni kwa wakubwa tu. Huyu mzungu wa kiume alifanya makosa sana kuchanganya michezo miwili isiyoshabihiana. Inasemekana mwanamke anapofika kileleni, halafu ukafanya ujinga ukatoa, anaweza akakung`ata na meno na kukuumiza, na inakuwa sisi yeye bali ni misukumo ya kimwili, sasa wewe uje uchezee BISU wakati huo yeye alitegemea nini, si amejikitakia huyu! Ndio maana kaona aibu hata hataki kesi

Anonymous said...

Dada Chemi, sio mchezo wa Ngono ni tendo la Ngono, maana ni kazi kweli kweli, si unajua lakini! Hata huyu Mzungu alichanganya mcezo na kweli, pole yake

Anonymous said...

Huyo jamaa anabahati kweli mana angetolewa jicho au angekatwa sikio. Bahati yake. Mnafanya mchezo na mwanamke aliyenogewa!