Monday, May 12, 2008

Walim - 'Louima' au nini?

Hapa Marekani miaka ya tisini kuna mHaiti, Abner Louima, ambaye alitiwa plunger (kizubulio cha choo) kwenye sehemu ya kutolea haja kubwa na polisi wa kizungu wa New York. Louima alipona na kulipwa mamilioni ya dola kama fidia.

Leo nilivyokuwa napitia Ippmedia.com nikaona hii habari ya ajabu ya Mjerumani aliyefariki Dar es Salaam jana. Wanasema kuwa eti alikuwa anatoka damu nyingi sehemu ya kutoa haja kubwa.

Imetokea nini tena? Ni ugonjwa au mambo mengine? Tungojee autopsy itasemaje.

*******************************************************

Mjerumani akutwa amekufa sakafuni chumbani kwake

2008-05-12

Na Gabriela John

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Italy Wood Tiles Ltd ya jijini Dar es Salaam, Fransisos Johanes (45) ambaye ni raia wa Ujerumani, amekutwa sakafuni chumbani kwake amekufa huku akitokwa na damu nyingi sehemu ya haja kubwa.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Bw. Jamal Rwambow alisema tukio hilo lilitokea juzi asubuhi eneo la Mbezi Tanki Bovu, jijini Dar es Salaam. Alisema mwili wa marehemu huyo umehifadhiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.

6 comments:

Anonymous said...

Huyo mzungu alikua ni shoga,akajifanya anawang`ang`ania wabongo kumbe machizi wanatumia local viagra(Muku,kiloriti etc)wakampasua pasua maeneo.

Anonymous said...

REST IN PEACE!

Anonymous said...

du ni ngumu kuelezea kwanini huko nyuma. lazima alipewa ngoma nzito na wamatumbi wetu basi mambo yakaalibika basi kaka zetu acheni kupandisha mori wakati mwingine

Anonymous said...

Saa nyingine hii hali inasababishwa na ugonjwa wa Cancer ila kama ulivyosema tusubiri vipimo kabla ya kukurupuka kwa ufinyu wa fikra

Anonymous said...

hahahha jamani huyu kapewa kitu..mwenyewew kakata roho unafanya mchezo

Anonymous said...

Inasemekana kuwa David Mataka alionekana akitoka chumbani kwa huyo Mjerumani. Mnakumbuka David Mataka alivyompa kitu Defao mpaka Defao akalazwa na kushindwa kufanya shoo?