Saturday, May 24, 2008

Obama Hatarini?!

Kava ya mbele la gazeti Roswell Beacon (Georgia) iliyotoka May 15, 2008


Ukiwa mgombea rais mweusi uko hatarini kuuliwa. Kwa kujua hivyo, Secret Service walitoa ulinzi kwa mgombea rais wa chama cha Democrats mapema. Obama amekuwa akilindwa kwa mieza 18 sasa.

Nchi hii kuna wabaguzi hasa. Yaani white supremacists wanaoamini kwamba mtu mweusi si bindamu na hasthili kuwa na chochote. Huwezi kuamini kuwa mwaka 2008 bado wapo. Sehemu zingine hapa Marekani huwezi kwenda na kuwa na uhakika wa kutoka na maisha yako ukiwa mweusi.

Ajabu, mpinzani wa Obama, Senator Hillary Clinton, amesema kuwa si ajabu watu kugombania nafasi ya mgombea hadi mwezi June, na kusema habari ya kuuliwa kwa Senator Robert F. Kennedy mwaka 1968. Sasa watu wameshutuka! Wametafsiri kuwa Clinton aikuwa na maana kuwa wakimwua Obama, yeye yupo kushika nafasi ya mgombea rais. DUH!

Kwa kweli watu wamemkasirikia Hillary kwa maneno yake.

Kwa habari zaidi someni:

http://blogs.abcnews.com/politicalpunch/2008/05/assassination-d.html

http://afp.google.com/article/ALeqM5jbMPoA_wjG3rgLbbsD-mT30oWfZA

http://ap.google.com/article/ALeqM5g-qGLDs-gAnZiUXD2NU51ry3j3dwD90RJVIO0

9 comments:

Anonymous said...

SECRET SERVICE PROTECTION:
1/.HILLARY CLINTON-SINCE HER HUSBAND ADMINISTRATION.
2/.OBAMA-MAY 2007(ONE YEAR AGO).
3/.McCAIN -APRIL 2008.(ONE MONTH).

Anonymous said...

Nilijua tu ungegundua hili na kuliandika. Kusema kweli nimekasirika sana na kuchukizwa mno na jinsi huyu mwanamke alivyo ARROGANT, CONDESCENDING na OPPORTUNISTIC na kwa namna alivyopania kwa nguvu zake zote kumshinda Obama kwa vile tu yeye ni MZUNGU!!

Hiyo analogy aliyotoa ya kifo cha RFK mwezi wa Juni na upinzani wa Obama haina interpretation nyingine zaidi ya kwamba anajaribu ku-keep her candidacy alive in the event that something drastic and dramatic happens to Obama like a potential assassination from White racist supremacists. There's NO WAY she could have implied anything else!

Ni wazi kabisa kwamba anaona ni haki yake na anafaa zaidi kuwa mwakilishi wa Democrats simply on the grounds UZUNGU wake, jinsia yake na status yake kama mke wa Bill Clinton. I really hate this bitch and can't stand even looking at her picture for two freakin' seconds!!

Kwa wale waliokuwa wakifuatilia kwa karibu ushindani kati yake na Obama mtakumbuka jinsi mwezi Februari alivyokaririwa aki-imply (indirectly) eti Obama angefaa sana kuwa mgombeaji wa umakamu Uraiswa Democratis wakati Obama alikuwa tayari keshamshinda na kumpita maradufu kwa kura. Hebu chekini kikatuni walichochapisha Newsweek magazine sometime in Feb/Mar 2008 baada ya hiyo kauli yake huyu mwanamke:

http://media.nodnod.net/boxing.jpg

Anonymous said...

Unavyosema Dada Chemi ni kweli kabisa. Ubaguzi USA uko kwenye damu (ingawa si wazungu wote lakini wengi wao). Kauli ya Sen. Clinton inatokana na imani aliyonayo kuwa wazungu wenziwe watamuua Sen. Obama, na hakika sitashangazwa na hilo. Tumuombee Sen Obama.

Anonymous said...

Kweli tumuombee Obama. Hii sasa ni too much. Na mimi nina amini kuwa Clinton alikuwa na maana kuwa wakimwua Obama yeye yupo kuchukua reigns!

Anonymous said...

Pamoja na kuwa simpendi huyu mama, hata hivyo nadhani wakati mwingine anaonewa sana na vyombo vya habari kusudi kumfanya awe mbaya zaidi. Kila akisema neno watu wanalibadilisha na kulipa image mbaya. Aliwahi kusema kuwa kuwepo kwa Rais mzuri ni jambo la muhimu sana kwani hata ile ndoto ya MLK isingetimia kama hakungekuwa na Rais Johnson aliyeilewa ndoto hiyo na kupitisha Voting Rights Act.
. Vyombo vya habari na mahasidi wake wakabadilisha maneno hayo na kudai kuwa amemdhalilisha MLK kuwa ndoto yake singefanikiwa bila kutekelezwa na mtu mweupe- Johnson.

Sasa mamneo hayo mnayosema hapo juu si mageni; aliwahi kuyaongea siku za nyuma na wala hakukuwa na kelele zozote. Alichokuwa akisema ni kuwa kampeini kuendelea hadi June ni jambo la kawaida na akatoa mifano hiyo miwili: kuwa mme wake alishinda primary mwezi June (wakati kampeini zilipokuwa bado zinaendelea) na RFK aliuwawa mwezi June (wakati kampeini bado zinendelea). Mara ya kwanza alitoa mfano mwingine wa Senator Ted Kennedy alivyoendelea na kempeini za primary dhidi ya Jimmy Carter hadi siku ya Convention.

Watu wanatumia chuki kudistort message aliyokuwa akituma na kuifanya iwe kama vile alikuwa akidai kuwa anaendelea na kampeini kusudi Obama akiuwawa yeye awe yupo; huo ni uowngo na uzandiki mkubwa sana ambao sikutegemea waandishi wa habari walufanye. Hata mtoto wa RFK mwenyewe amejibu kuwa haoni lolote baya katika maneno yale, na hata Obama mwenyewe anajua kuwa hakuna ubaya ila kwa sababu za kisiasa ndiyo hivyo hawezi kusema lolote.

Message yake halisi ilikuwa kwamba kampeini za primaries kuendelea hadi Juni ni jambo la kawaida.

Anonymous said...

my reply to anonymous - then why did she not reference other campaigns that have gone on until june?....there so many why bring up the assasination of kennedy???...WHY?....Keith Olbermann said it better...we have forgiven her in so many slip ups but this one...is unforgiveable!!!

Anonymous said...

just watch this:http://www.youtube.com/watch?v=J8CsQyr6vlc

Anonymous said...

All in all kila mtu anajua kuwa Seneta Clinton ni mwanasheria na asikudanganye mtu hakuna watu smart na wanaojua kucheza na maneno kama ma-lawyer, ikiwa alisema mara ya kwanza, mara ya pili hakutamka neno assasination, lakini pia hakusema kuwa ndio sababu inayomfanya abaki kwenye kinyang'anyiro. Ila this time she was too much alisema akijua kabisa anasema nini kwani hata hakuapologize properly hasa kwa seneta Obama kwani amesema wazi kinchomweka kwenye kampeni ni history na mwisho kumalizia na assasination ya RFK. Hivi kweli mtu mwenye akili yake timamu hasa ukizingatia kuwa Edward Kennedy amekutwa na brain tumour ugonjwa ambao hauna dawa, mpaka maseneta marafiki zake wakubwa wamelia kwenye TV, leo wewe unaenda kutamka neno kama hilo la assasination kwa wakati kama huu? Kama si kukosa utu kwa familia ya Kennedy na Obama ni kitu gani? Huyu mama by hooks and crooks anataka kuwa Rais wa Marekani lakini nafikiri sasa mwisho wake wa siasa unakuja vibaya. Rais Jimmy Carter amerekodiwa na Sky News akisema kuwa now she need to exit/step down. cheki sky world news. Kama watu wanasema kuwa kampeni ya Obama ndio imeyakuza pamoja na waandishi basi hata wale wa NY Times walio-muondorse pia mbona wame-condemn hiyo statement yake? Wakati anajua kuwa kuna machizi kibao ambao wanasubiri tu kuna haja gani ya ku plant hiyo seed na kuonyesha kuwa the only obastacle to her presidency is Obama & can be removed easily by that forbiden word. Kumbukeni pia kuwa huta Mike Huckabee alivyofanya mzaha wa kusema kuwa hiyo ni sauti ya kiti seneta Obama anakwepa risasi ya sniper, hata chama chake kilimlaani kwa kusema hayo na akaomba radhi. Lakini Clinton mhu anamiliki DNC yeye na mumewe, ameshasema utumbo kibao na hakuna anayeweza kumsema au kumkataza.

Anonymous said...

vyombo vya habari "tell it like it is"...no one is distorting her message...remember obama aliposema 'they cling to their guns and religion other then the issues at hand'....hillary went out of her way calling him an elitist. obama apoligized that he mispoke...but he did not go and accuse hillary's camp for distorting his words.....SHE KNOWS WHAT SHE IS DOING...THERE IS NO EXCUSE ON THIS ONE...YOU DO NOT USE THE WORD ASSASINATION IN REFERENCING A REASON TO STAY IN THE RACE....we all know what she wants...at all costs.