Saturday, May 10, 2008

Ukiweka Maiti Kwenye Choo Atafufuka!


Hii sasa ni vituko vya vituko! Huko Wisconsin polisi wamekuta maiti ya Bi kizee mwenye miaka 90 ikiozea kwenye choo ndani ya nyumba.
Huyo bibi alikuwa anakaa na mama moja, Tammy Lewis (pichani) na wanae wawili. Yule bibi alifariki ndani ya nyumba yao. Alivyofariki badala ya kuita polisi yule mama mwenye nyumba alipiga simu kwa askofu wake. Askofu kamwambia aweke maiti ya huyo Bi kizee kwenye choo na atafufuka.

Miezi miwili ilipita na maiti ilianza kuoza kwenye hicho choo. Jana, polisi walienda kwenye hiyo nyumba kumtafuta yule bibi kizee maana alikuwa hajaonekana muda mrefu. Kufika walisikia harufu mbaya. Ndo walikuta maiti ya huyo bibi.

Sasa hiyo nyumba ina choo kimoja. Hao walikuwa wanajisaidia wapi? Na walikuwa wanaoga wapi? Na

Samahani lakini kuna kitu gani kwenye maji huko! Kule si ndipo yule Peter Kupaza alipomwua ndugu yake baada ya kumtia mimba!


**************************************

Necedah, Wisconsin - Two children and their mother are said to have lived for about two months with the decaying body of a 90-year-old woman on the toilet of their home's only bathroom.

Wisconsin authorities say a religious "superior" had claimed the corpse would come back to life.
The children, ages 15 and 12, cried hysterically after a deputy who came to the home looking for the woman ordered them out because of the stench from the body.

The children are in foster care. Their mother and a self-described "bishop" remain in custody on felony counts of being a party to causing mental harm to a child.

Kusoma habari kwa kirefu Bofya hapa:

2 comments:

Anonymous said...

Marekani hawaogopi maiti? Kukaa na maiti masaa shida, kukaa nayo mpaka inaoza jamani!

Unknown said...

Hizi imani kweli zinatupeleka pabaya. Ndio maana wengine wameona kama kuna wanaojiita Born-Again-Christian, wao wakajiina Born-Again-Pagan.