Thursday, August 13, 2009

Divorce Cakes - Keki za Kuachana

Wadau, mapenzi ni matamu lakini wakati mwingine yanakwisha. Waliokuwa wanapendana wanajikuta wanachukiana. Kama walikuwa wamefunga ndoa basi wanaachana (divorce). Sasa imeanza biashara ya kufanya party za kusherekea kuachana. Hebu mcheki hizi dizaini za keki!

******************************************7 comments:

Anonymous said...

Wanawake wa kizungu wakatili kweli!

Nautiakasi said...

Mhh sasa hizo cake zote anaeachwa ni kwa vijibwa ni mwanaume! Kumanina zao! Ndo maana wanaishia kusagana, hata mbwa (wanyama) hawawezi kufanya upumbavu huo wakusagana!

Baraka Mfunguo said...

Kwa sababu ndoa ni mkataba kwao na sio mapenzi kama mapenzi so to them there is no big deal they can party after divorce.

Anonymous said...

hizo zote ni frustration tu!!! wanawake ndio maana akili zao ni nusu ya akili za wanaume kisha wakiambiwa wanasema wanadharauliwa. lkn ndio ukweli ulivyo!!!

Anonymous said...

Sasa, hawa wenzetu anaechwa ni mwanamume siku zote, maanake keki zote zinaonyesha hivyo, kwa hiyo kwa hawa wenzetu mambo yao ni tofauti na huku kwetu, ambako mara nyingi tumezoea kuona mwanamke ndiye anaechwa, tena na kwa taraka. Na ukipewa talaka moja hiyo bado haitoshi, unachowaza labda utarejea tena, sharti mapaka upigwe nazo tatu. mmmhhh, hawa wenzetu hawapigwi na waume zao kwa mtindo huu, bari wao ndio wanaowapiga hao waume, na kutoa hizo taraka.

Anonymous said...

Jamani, kama mtu anataka kuona ukweli akaoe mke wa kizungu

African Man said...

hello chemi, nataraji mambo sio mabaya huko kwa obama.

siku chache zilizopita ulipost keki za kuachana na watu kadhaa walitoa comments zao. baadhi wakasema wanawake ni makatili na wengine kusema hizo ni frustrations za wanawake hao baada ya kuachwa na wenzi wao.

nia yangu hapa ni kukupa kisa latest kimetokea juzi hapa kuwait. mwanamke mmoja amewasha moto katika hema kwenye sherehe ya arusi na kuuwa watu 41 hadi sasa na wengine kadhaa wamejeruhiwa vibaya na huenda vifo vikaongezeka. kisa cha huyo mwanamke kuwasha moto huo ni hasira kwani huyo aliyefunga ndoa alikuwa ni mumewe na wakaachana kwa hiyo jamaa sasa ameamua kuoa mke mwengine. kwa hiyo hasira za huyo mke wa zamani ndipo akaamua kwenda katika hiyo arusi na kuwasha moto. hema lilikuwa na ukubwa wa kuchukuwa watu 200 na wengi wa waliofariki na kujeruhiwa walifia mlangoni katika harakati za kukimbia na kutoka nje. sasa hapa sijui ndio kamkomoa huyo ex husband wake au vipi maana kauwa watu wasio na hatia wakiwemo watoto na sasa ameshikiliwa na vyombo vya dola.

habari zaidi zinaeleza kuwa mwanamke huyo 23yrs alikodi taxi kutoka nyumbani kwake hadi kituo cha mafuta (petrol station) na kunuua lita mbili za petrol. dereva wa taxi hiyo ametrhibitisha hilo. baadae akakodi taxi nyengine ambayo ilimshusha kwenye sherehe za arusi alikofanyia unyama wake. dereva wa teksi hii pia amethibitisha polisi. pia kuna mtumishi mmoja wa kiasia katika harusi hiyo alimtaka ampatie magazeti awashe moto akakataa pia ametoa ushahidi dhidi yake huko polisi. baadae akamua kivyake kuwasha moto huo na kukimbia. kwa kuwa ilikuwa ni usiku na huku ni jangwani moto ulishika kasi na ndani ya dakika tatu hema likuwa linateketea na kusababisha vifo hivyo.

sasa jambo la kuzingatia hapa ni jee huu ni uungwana? ndoa ni makubalianao na mnaweza kuivunja wakati wowote sasa hasira hizi za nini? na kwanini wanawake hutumia kisingizio hicho cha hasira kufanya mambo ya ajabu ajabu na aibu? naomba uwawekee wadau wachangie.

email yangu kapuni tafadhali.

maelezo zaidi angalia gazeti la ARAB NEWS ONLINE www.arabnews.com

mdau

kuwait