Monday, August 17, 2009

Zombe na Wenzake Waachiwa Huru!

SIWEZI KUSEMA ZAIDI YA DUUUHH!!!!

Kwa habari zaidi mtemblee Kaka Michuzi!

4 comments:

Anonymous said...

nchi ya mafisadi papa na nyangumi .wanarindana wao kwa wao.duhu sie walala hoi jamani

Anonymous said...

Da Chemi,

Nchi yetu imeoza tayari na ki ukweli huu ndio mwisho wa Dunia sasa Maandiko yanatimia. Ngoja tuone hiyo 2010 itakuwaje. Wananchi tunanyanyasika sana ni kama "mwenye Hela mpishe"!

Kaka Trio said...

Sasa mlitegemea nini? Lazima upande mmoja ushinde na mmoja ushindwe, Hio haimanishi ufisadi wala nini acheni emotions saa zingine, sio kila anayeshtakiwa au tuhumiwa afungwe. Inawezekana Zombe aliamuru mauaji lakini kama ushahidi unaokubalika mahakamani au kama prosecutor kaborongo jaji haezi kumfunga zombe hususani ushahidi unapokuwa shalo.

Hii pia iwe fundisho kwa wote popote pale tulipo duniani tujifunze namna ya kuepusha shari na polisi kila inapowezekana, kwani wao wana silaha kali na ukiwafanya wazitumie kwa makusudi au baati mbaya mazara hayawi reversed kwa mfano vifo vya hao ndugu walio uwawa.

Nawapo pole sana ndg waliofiwa na Mungu awajaalie ujasiri wa kuendelea na mapambano ya maisha na mengineyo.

John Mwaipopo said...

Watu wakitaka mahakama ya kadhi mnawanyima. ona sasa!