Friday, August 07, 2009

Sherri Shepherd Akataa Kupunguza Matiti

Leo kuna habari kuwa Sherri Shepherd wa The View, amepunguza uzito lakini alikataa kupunguza matiti yake makubwa. Nampongeza Da Sherri kwa msimamo wake. Hivi kwa nini uzungu haupendi matiti makubwa na matako makubwa! Wanataka wanataka wembamba ambao wakitembea unasikia mifupa unagongana. Wanawake wenye asili ya Afrika wamebarikiwa na matakao makubwa na vifua, lakini wamefundishwa kuwa ni kinyaa. Kama mnakumbuka Queen Latifah alipuguza matako yake na matiti yake akidhani itamsadia kupata roles zaidi katika sinema za wazungu. Wala sijaona huo ongezeko la offa za sinema kwake. Nasema bora angebaki kama alivyokuwa maaa alipendwa zaidi.

Na mimi nsaema hivi, "Nipunguze matiti yangu...nipunguze urithi kutoka kwa bibi zangu! Mnawazimu nini! "

Matiti makubwa oyeeeeeeee!!!!
Mnaweza kusoma habari zaidi za Dada Sherri Shepherd HAPA:

11 comments:

Anonymous said...

Asante sana Da Sherri. Uwe mfano kwa wengine!

Nautiakasi said...

Ha ha ha Da Chemi visaaaa..huachi!
Ni ukweli usiopingika wanamue 95% wanapenda wanwake wenye matako makubwa na matiti makubwa. Matako na matiti ndo vinavyo amsha muhemko kwa haraka sana kwa mwanamume. Tena si ajabu mwanaume anaekandia mawowowo, ukamuona amekata shingo kumtazama mwanamke mwenye wowowo akikatiza mbele yake.
Nikupe siri wanaume wanaoogopa kulala na wanawake wenye matako makubwa ni wale wenye mboo fupi (ashakum si matusi), huwa wanahofia sababu ili mtarimbo upenye vizuri (deep)lazima uwe nchi 7 kwenda juu ( ni wanaume wakiafrika ndo tumejaaliwa size hiyo)! Hakika wanawake wenye ma wowowo hawakinaishi mchezoni, yaani kila ukimaliza kula wataka uongeze tu. Waweza mpa ruhusa mwenyewe aende kukoga akisimama tu kuchukuwa taulo, aah ukiona manyama yanavyotikisika nyuma unamvuta tena kwenye sita kwa sita..!
Onyo magari haya makubwa ni kwa wenye lesini class C tu (wenye nchi 7 kwenda mbele) mlozoea vi escudo na vibajaj mkome!
Matakozzzzzzz makubwa na nidozzz oyeeeeeeeee!

Anonymous said...

Da Chemi mi naona ungefanya jambo la maana sana kama ungetuwekea picha yenye kutuonesha matako yako hapa ni size gani....nitashukuru sana, maana mi huwa nakuzimia sana...at least ukiyaweka hapa nitakuwa nafantasize namna ya kuyafanyia kazi kwa kutoka nyuma.ni ombi, naomba picha yenye mavazi ya mvuto either khanga au kitenge,uyabane yaonekane vizuri.. sio madudu ya wazungu...ahsante.

Qualified Driver class C said...

swadktaaaaaa nautikasi vimbau mbau havinipi hamu,ukilala nacho hu feel kitu zaidi kukuumiza na mifupa yake.
Matako makubwa oyeeeee matiti makubwa juuuu juu zaidi

Anonymous said...

Duh!! dah chemi mtu mzima lakini hujatulia kabisa,hivi yule mwanao akisoma hapa inakuaje Chemi?!! hujatulia kabisa.

Anonymous said...

u r not really tanzanian u should not even blog in swahili language.

Anonymous said...

Anonymous of 3:21am, what nationality are you? Do you know Swahili? So shut the f..k up, we who know Swahili love this blog!

No. 1 Fan said...

Duh! Walitaka apunguze ili? Washenzi kabisa. Nami namsifu Da Sherri kwa msimamo wake. Na pia nakusifu wewe Da Chemi, huogopi!

Anonymous said...

Janet Jackson naye alipunguza matako yake kwa liposuction. Queen Latifah alipunguza matiti lakini mbona sioni akiteuliwa kupata Oska tena? Aliteuliwa alipokuwa na matiti makubwa. Ni kweli mpende Mungu alivyokuumba. Hebu mwone Michael jaskcon alivyojiharibu. BIG UP SISTER SHERRI!

Anonymous said...

Matako makubwa poa lakini 'nido' kubwa nooooma!

Anonymous said...

Napenda matiti makubwa.