Saturday, August 22, 2009

Rais Obama Atuma Salamu za RamadhaniMwezi Mtukufu wa Ramadhani umefika. Rais wa Marekani, Barack Obama amewatumia waislamu wote salamu. Nadhani ni mara ya kwanza kwa rais wa Marekani kutuma salamu za Ramadhani kwa waislamu nchini Marekani na duniani pote. Nampongeza Rais Obama kwa ushujaa wake wa kutoogopa maneno ya wazungu wasioelewa kuwa dunia imebadilika.

1 comment:

Anonymous said...

Huyo ni Rais haswa! Asante sana Rais Barack Obama. Thank you very much.