Saturday, August 08, 2009

Ili Mambo Yanoge....."WAKUBWA TU!"

Wadau, najua kuna watu watachukia lakini niliamua kubandika kwa sababu naona vijana wetu wanapotoshwa na DVD na video za ngono XXX. Mnakumbuka hapo zamani za kale, hizo sinema za ngono zilikuwa marufuku Bongo? Hata magazeti yalikuwa yanchujwa. Sisi tulikuwa tunasoma vitabu kama'After 4:30' yaani ndo somo! Mambo ya mapenzi ya kweli hayako hivyo.

************************************

JINSI YAKUJIANDAA NA SEXKUTOKA BUSATI LA MALAVEDAVE BLOG

Wapenzi na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka iliyopitiliza!

Mwanaume atamkumbatia na kumbusu mwanamke kwa muda mfupi na kabla hata hamasa ya mapenzi ya mwanamke ahaijashika hatama, atamwingilia na ndani ya dakika sekunde ama dakika zisizozidi 3, mwanamme hufika mshindo.

Katika hali ya kusikitisha baada ya mwanaume kujitosheleza hujongea pembeni bila kujali mwenza wake hajafika mwisho wa safari hali inayosababisha mwanamke kupoteza hamu ya tendo endapo endapo tabia hiyo ya mwanaume itaendelea.

Kunahatua nne muhimu ambazo wapendanao wakizishika na kuzitekeleza ipasavyo basi watafanikiwa kujitosheleza kila wanapokutana na kwa hakika watakuwa miongoni mwa watu wachache wanaofurahia faragha kila wakutanapo!

Hatua ya kwanza ni kusameheana:
Wanandoa wengi hushindwa kupata raha ya mlo wa usiku kutokana na kushindwa kumaliza tofauti zao kabla ya giza halijaingia, mgogoro wowote baina ya wapendanao ni lazima umalizwe kabla ya kukutana kwa ajili ya mlo wa usiku. Hii husaidia kuondoa kinyongo miongoni mwao na kuwafanya mioyo yao igubikwe na upendo ambao humfanya ahamasike kunako majambo!

Hivyo basi endapo unataka kufurahia mambo fulani hakikisha unamaliza tofauti, ombaneni msamaha na samehaneni kwa dhati kwani kwa kufanya hivyo kutawasaidia muwapo faragha kufurahia kile mnachokifanya kwa kuwa mtakuwa mmemalzia tofauti zenu.

Hatua ya pili ni mchezo ya mahaba:
Mashamsham hunoga na kupamba moto kiasi cha kumfanya yoyote aliye kwenye uwanya wa raha kusahau kwa muda shida na matatizo yanayomuandama pale anapokutana an mtu anayeweza kumpagawisha kwa michezo ya mahaba kabla ya kuianza safari yenyewe!
Michezo hii husaidia kuamzsha hamasa na muhemko baina ya wapendanao, hivyo ili wapendanao waweze kufika mwisho wa safari pamoja na kila mmoja alidhike na udereva wa mwenzake uliowafikisha safari yao lazima watumiye muda wakutosha katika michozo yakimahaba!

Hata hivyo kila mmoja wenu anapaswa kuujua mwili wa mwenza wake. Mwili wa mwanaume ni rahisi kuuelewa kwani una sehemu moja kuu ambayo ni kama kiini cha muhemko na msisimko wa mapenzi. Sehemu hiyo ni uume. Hivyo endapo mwanamke yoyote atatumia muda wakutosha kuhangaika na sehemu hiyo basi mambo huwa safi kwa upande wa mwanaume.

Mwili wa mwanamke una shughuli pevu kubaini sehemu zenye ambazo huamsha hisia za mapenzi na ndiyo maana wanaume wengi hushindwa kuwafikisha mwisho wa safari wapenzi wao. Kiini cha hisia za mapenzi kwa mwanamke ziko kwenye kipegere G (namaanisha critoris wadu, haya ni mambo ya infenizimu tu). Kipegere G kipo nje ya uke ambapo wataalamu hudai kuwa kipo sentimita 4 kutioka ukeni.

Wanaume wengi wanaelewa hili lakini walio wengi wamegubikwa na imani potofu kuwa, kwa kuingiza kidole ukeni watafanikiwa kuinua hamasa ya za wenza wao kutaka kuanzisha safari jambo ambalo si kweli, kwani wanawake wengi hujisikia vibaya kuingizwa vidole ukeni kutokana na ukweli kwamba kucha zinabeba uchafu na bakteria wengi ambao huwasababishia kupata fangasi!

Hivyo basi, endapo wewe ni miongoni mwa wanaume waliokuwa wakiaminin dhana hii nataka nikujulishe kuwa, ukitaka kumpa msisimko uliotukuka mwenza wako usiangaike kuingiza kidole chote ukeni badala yake hakikisha unatumia kidole chako (hakikisha si kikavu) kucheza na sehemu ya nje ya uke ambapo utakutana na kipegere G na lips za ndani. Hata hivyo usisahamu kuhangaika na uke pia lakini hasa shughulika na sehemu za nje!

MUHIMU KUJUA: Mwanaume huahamasika kwa sekunde kadhaa lakini mwanamke humchukua takriban dakika 20 kuweza kuamsha hisia zake na kumfanya awe tayari kwa kuianza safari! Hivyo, mwanaume mwenye busara yaani asiye mbinafsi huakikisha anatumia muda wakutosha kumuuanda mwenza wake kabla ya kuanza safari! Hivyo mwanaume anapaswa kunza michezo ya mahaba kwa kuzingatia hatua tatu muhimu ambazo ni:-
Sehemu ya juu:

Wanume wengi kutokana ana haraka zao hukimbilia sehemu ya chini ya mwili wa mwanamke na kuacha s............... itaendelea

****************************************************

ASANTE KAKA MWAKILAGA, MAWAIDHA MAZURI SANA KWA WAPENZI!

5 comments:

Nautiakasi said...

Daah umegusa ndipo kwa sisi wanaume, lakini hujatoa darsa kwa wanawake! Kwanza kuwaambia wanawake wakimbilie kuchezea mboo zetu tu, unawapoteza kimtindo! Wanaume pia huhitaji kuchezewa na kunyonywa sehemu nyengine kama vile pumbu, maskio, shingo na kupapaswa kifuani kwa utulivu na huku sauti nyororo ikikunong'oneza (pumbazo)! Tena waambie hao wanawake mboo hainyonywi kama pipi! Daah kuna badhi ya wanawake wakikunyonya mboo utatamani ulie kwa maumivu si raha, wanashindwa kueka cushion kwenye meno yao kwa kutumia lips, mijino inakuwa inakwaruza mboo, daah stimu zote kwishnehi. Yaani kama mna kutana second time, unaona gamu hata kunyonywa mboo! Unaanza kuvuta hisia za maumivu badala ya raha. Nyie akinadada nunuwe ndizi mbivu then mjaribu kuzinyonya mkiona zinafanya alama za meno basi mjuwe mnatuumiza (waume au mabwana zenu) ila basi tu, tunashindwa kuwapa "black and white" lakini ikizidi tutawaambia dah utafkiri mashine zinakoboa mahindi!
Nahao wanaojifanya kuchezea pumbu zetu wengine wanazikamua utafkiri wanakamuwa limau, daah jamani taratibu, mtu ukimaliza starehe unaugulia wiki 3, pumbu zauma tu. Pumbu ziko very sensitive zichezeeni kwa utaratiibu na kuzibembeleza! Mkizitia mdomoni msizimung'unye kama mnavyo mung'unya pipi daah mtatufanya tuwe tasa baadae, sababuni kama mnatu "castrate" (hasi)!

Da Chemi baadae, ngoja nkachunwe ngozi ya mboo kwa meno ya mwanamwari...!

Anonymous said...

dah kuwa na mama kama huyu chemi balaa, sijui utaficha wapi uso wako. mama umarekani mwingi

Anonymous said...

SASA WEWE ULIYETUPA HII HABALI,,NINA SWALI.SASA NA KAMA MBOO YAKO HATA KAMA UMEANZA KUTAYALISHA MPENZI WAKO,LAKINI KWA MDA WAKUANZA SAFALI MBOO YAKO INAZIMA,,AU UKICHEZA DAKIKA TANO BASI UNAMWAGA NA INAZIMA MOJA KWA MOJA,,HATA MPENZI WAKO AAMSHE TENA UTAFANYA DAKIKA TANO TU IZIME UTAFANYAJE? MWANAMKE AKIANZA KUNYONYA MBOO YANGU BAADA YA DAKIKA TATU TU NAMWAGA MBEGU,,NA HAPO ANAANZA MOJA KUAMSHA..IKIAMKA MDA KIDOGO TENA NAMWAGA NA INAZIMA.NIFANYEJE??ILI NIPATE KUFANYA HATA DAKIKA 30?

Anonymous said...

Dada Chemi una pointi. Vijana wanapostoshwa. Hawapati ile 'sex education'. Wazee wetu walikuwa na jando na unyago. Bora ungerudi. Hizi video za XXX zinaharibu vijana na kusaidia kusmbaza magonjwa ya zinaa. Asante na asante pia kwa bwana Mwakilaga.

Muchuka said...

vipi Chemi

Hii Mambo ya XXX movies ina ingia sana kwa watoto wetu. Yafaa uichambue zaidi