Saturday, August 01, 2009

Mashosti Blog

Naomba kuwasilisha, mashosti.blogspot.com

Makaka na madada zangu mdogo wenu napenda kuwasilisha kwenye ulimwengu wa mablogu...blogu langu maalum kwa ajili ya wazazi watarajiwa,ambapo kibarazani kwangu mashosti watakuwa wanakuja kupata habari jinsi ya kulea mimba,nini ule,nini uvae na hata pindi mtoto atakapozaliwa tutakuwa tunamtunza humu humu ndani ya blog kwa kuambizana nini kifaacho...Nitashukuru kwa ushirikiano wenu.Itakwenda kwa jina la...http://mashosti.blogspot.com/

Naomba kuwasilisha.

Mdau

No comments: