Friday, August 14, 2009

Mchango wa Kumsaidia - Peter Owino

MCHANGO WA KUMSAIDIA MWENZETU

PETER OWINO


Reading uingereza tunapenda kutoa Taharifa kwamba, Daftarin la kumchangia Peter Owino Aliyevamiwa na majambazi mwanza juzi tarehe, 11/07/09 limefunguliwa Bongo Flavour Reading.

Yeye mwenyewe Bado anaendelea na matibabu katika hospitali ya Rufaa ya bugando (mwanza) na mipango ya kunsafirisha kwenda Hospitali ya taifa muhimbili inafanyika.

Yeyote anakaribiswa kutoa chochote kwa kwenda bongo falaour au kulipia kwa njia ya benki.

Kwa taharifa zaidi Piga simu

01189585878

07900040288

07760200372

07806792348

Kutoa ni moyo usambe ni utajiri

2 comments:

Anonymous said...

huyu alietoa alieandika hii taarifa nadhani atakuwa mtoto wa darasa la pili au la tatu.Hajui kuandika

Anonymous said...

Wanachama/wakereketwa wa CCM mumchangie