Thursday, August 20, 2009

Mzungu Auwawa Zanzibar

Mazishi yalifanyika huko Ireland juzi , ya Robert De Courcey Stringer (26). Alikutwa kwenye ufukwe wa Zanzibar tarehe 8/8/09 akiwa amepigwa kichwani na kuibiwa mali yake. Alikuwa Zanzibar akifanya kazi na mradi wa 'Camara' ambayo ina gawa computer zilizotumika (second hand) na teknolojia zingine kwa watu. Hivi huko Zanzibar siku hizi kuna nini? Zamani ulikuwa husikii habari ya wizi.

Mwaka jana wageni wa Cristal Resort walivamiwa na kuibiwa mali yao zaidi ya mara moja.

Na majuzi kuna wazungu waliibiwa mali yao kwenye beach Zanzibar.

Kwa habari zaidi someni:

http://www.irishtimes.com/newspaper/breaking/2009/0818/breaking31.htm

http://www.rte.ie/news/2009/0808/stringerr.html

http://www.google.com/hostednews/ukpress/article/ALeqM5h8grmvaZDlHjMTifiw2jc1QFF7Gg

6 comments:

Anonymous said...

Hello, even if I do not want to speak about it too much today it is of my duty to warn all the travelers and the tourists. While we had chosen to make our honeymoon in Tanzania + Zanzibar, we were a victim of a holdup on September 17th, 2008 at 8 pm. This took place in the hotel crystal resort in Zanzibar (towards Paje village). The hotel as many of the others is situated on the beach with bungalow. Thus it is not closed. We were in the dining restaurant, a man appeared from the beach equipped with a very big rifle. He assaulted a lady who ate and try to steal her bag. Then certainly to show that his weapon was a real one he fires a bullet on the ground, and it is my husband who sat in front of me who received the bullet into its intestines. It entered by the back some centimetres of his column and went out on left of its body. It rose while howling and fell down by ground. The man continued to attack other tourists, fired once again but directed on the swimming pool this time without wounding anybody. Then that lasted a half hour, me lying close to my husband trying to speak to him and all the other tourists on the ground, without knowing if the men were still there. We were then attacked by a man with a knife. The police force although being prevented 5 min after the shooting, condescended to be shown only 40 minutes after. The owners of the hotel and me then evacuated my husband using a pick up because neither helicopter nor ambulances are available on this island. Then always thanks to the hotel which has a private partnership with an airline company of safety/repatriation, we could go in Dar Es salem. Even if Nairobi would have be the best, the internal bleeding did not allow a transport to Nairobi. Indeed it took the bullet at 8:15pm and could only be in the hospital at 12:15pm … He was operated during 4 hours, the bullete had divided into 2 the small intestine and damaged the large intestine. Fortunately the surgeon was very qualified and bent all. Fortunately the bullet had touched only the intestines what is almost a miracle. He had lost so many blood that he has being transfused with 3 pockets, and the hospital did not have enough blood. Fortunately I was compatible, fortunately Tanzanians helped me and one man gave its blood this night for my husband. The embassy was prevented very quickly but during the night helped me neither psychologically nor to find blood because according to the consul “but everyone sleeps Madam”. She did not move until 8:30am, hour of the beginning of daily work I imagine. Then the nightmare continued 7 days before we are repatriated in France. The hospital in Dar Es Salaam (the aga khan) is certainly the best of Tanzania but contrary as what it is written on the pages of the ministries for the foreign affairs, it is far from being close to the European standards. The doctors were qualified, but they did not have money for the minimal hygiene, not the means of changing cloths enough, not the means of having air-conditioning and a generator when electricity braoke down, not the means of being correctly trained on the material…. The insurance (Europe assistance) paid the expenses of the hospital but wanted to pay me only the hotel and not my food, neither my taxis, nor my telephone…. They did not send an European doctor to see how was really the hospital, they made confidence with the doctors on the spot who told them that the hospital was very nice and competent…. I lived a nightmare waked up during 7 days. Fortunately my husband is well today, he is always in hospital, he has a stomy (pocket and artificial anus) but which is only provisional and in few months all of it will be almost as if nothing had occurred.
if you visit zanzibar TAKE CARE

Anonymous said...

Duh kafa kwa ajili ya viatu!

Anonymous said...

Dada Chemi, wacha nikwambie Zanzibar kuna nini. Kumevamiwa na watu kutoka bara ambao hawana kazi yoyote isipokuwa kuibia watalii. Ingekuwa wanawaibia tu sawa, lakini wamefikia hatua ya kuua.

Anonymous said...

Ujambazi kwakweli umekithiri TZ. Mimi na familia yangu tulikuwa likizo nyumbani na tarehe 07-08-09 saa mbili na robo usiku tukiwa Silver Sands hotel tulivamiwa na majambazi na tena walikuwa na silaha na pia walinya'ganya silaha ya walinzi pale getini. Majambazi walikuja kwa miguu na kuondoka kwa miguu. Tulikuwa Restaurant tukisubiri chakula. Ndipo mume wangu alipokuwa akitoka msalani akawaona majambazi wakielekea tulipo huku wakimpiga mtu wa mapokezi na kumwambia aonyeshe zilipo hela na wateja walipo. Mume wangu akapiga kelele za majambazi na watu wote tukakimbia ili kujificha lakini walifanikiwa kumteka mume wangu na kumtishia kumuua kwa kumuonyeshea silaha kichwani na kuchukua wallet na kila kilichomo ndani kasoro pass. Pia walichukua pesa na mikoba ya wateja wengine watalii. Majambazi walikuwa kama 10 au zaidi maana walizingira hotel.
Hali ni mbaya mno nyumbani na nahisi hali ngumu ya maisha inasababisha watu wengi wanajiingiza ktk ujambazi ili kujikwamua kimaisha.

Anonymous said...

Zanzibar ilikua si hivi zamani kulikua na amani sana nakumbuka mimi nilikuja mwaka 92 na 94 na ni mara ya kwanza ilikua unatemebea mtu na wewe ni mgeni bila wasiwasi hamna wizi wala majambazi, usiku unatoka peke yako hoteli kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda hamna kero njiani si kama Bongo, toka wameanza wabongo kuingia Zenji na mambo ya wizi yameanza kwa nini watanzania hamtaki watu au wageni waipende nchi yenu?

Anonymous said...

wizi na ujuambazi znz umeshamiri baada ya kuondolewa utararibu wa hati za kusafiria baina ya znz na bara. hivi sasa watu kutoka bara wamejaa ktk maeneo ya utalii na wengine kujihusisha na umalaya, uuzaji wa madawa ya kulevya na ujambazi.

aidha kuna wimbi la watu kutoka kenya pia limevamia ukanda wa mahoteli maarufu kama east coast na kujihusisha na uhalifu. kwa kuwa znz ni kisiwa kidogo chenye rasilimali chache na ajira ni chache pia. wale wanaofika znz kwa nia ya kutafuta maisha huishia kuwa wahalifu.