Monday, September 07, 2009

Anaomba Mssada


Kutoka kwa Da Florah Lauwo

Mdau wetu haya ndio haswaa! mazingira anayoishi kijana Emanuel Urio, Aliezaliwa jijini Mwanza akiwa na ulemavu wa mikono na miguu.Emanuel anaweza kujiendeleza na mambo mengi endapo atapata msaada kutoka kwako.Mdau wewe umempa nini Mungu kukuleta duniani bila kasoro yoyote?MSAIDIE EMA NA MUNGU ATAKUONGEZEA.Kitu ambacho Ema anachukia ni kukaa barabarani akiomba msaada,anapenda sana kusoma, kuchora, kuimba na mambo mengine meengi.Namba zake za simu ya mkononi ni,0757,839674

1.Ema akiwa nje choo wanachotumia
2.HAPA EMA ANAPELEKWA UANI NA KAKA YAKE

ukitaka kuijua familia yake na habari zake gonga hapa

http://florasalon.blogspot.com/2009/08/mwacheni-mungu-aitwe-munguna-usimjaribu_5238.html#comments

4 comments:

Anonymous said...

Jamani. Pole sana Emmanuel. Ina maana inabidi wamshike akifanye shughuli zake na wamsaidie kujisafishe. Mungu yu mwema lakini.

Anonymous said...

Hizo pesa zitamsaidia yeye au familia yake? Mimi niko tayari kutoa kama zitamsaidia yeye Emma!
Bora apelekwe Ulaya au Marekani wamwekee miguu na mikono bandia tenza siku hizi ziko Bionic.

Anonymous said...

Hii ni too much! Kwa nini kapiga picha CHOONI??? TOO MUCH!

Anonymous said...

Maisha gani haya! Pua karibu na choo! Hivi shule amekwenda kweli?