Saturday, September 12, 2009

Zilipendwa - My Sweety, My Sugar

Wimbo, 'My Sweety, My Sugar' (Let Me Love You) ulitoka 1981. Uliimbwa na Bunny Mack kutoka Sierra Leone.Wadau mnakumbuka enzi hizo za DISKO!

4 comments:

Anonymous said...

Dada leo umenikumbusha mbali sana. Nimefurahi mno

Anonymous said...

Asante sana! Kweli enzi za DISKO!

Tram Almasi said...

Du! dada nimekumbuka mbali sana. halafu asante sana kwa refresh memory yangu manake mimi miaka yote nilikuwa najua huyo jamaa anatoka Nigeria kumbe ni Sierra Leone!
asante

Anonymous said...

thanks for the song i will have to play it for my parents i was seven years old when i heard this song they used to play this song all the time thanks for the memories.

Mdau,
Alabama, US