Saturday, September 26, 2009

Tanzia - Mzee Swalehe Msuya


Swalehe Msuya Hatunaye Tena

Kwa masikitiko na majonzi makubwa watanzania tulioko Marekani tumeondokewa na mwenzetu SWALEHE MSUYA (pichani) .Kifo chake kimetokea mjini Minneapolis katika jimbo la Minnesota. Tunaomba Watanzania tuweze kusaidiana ili kuusafirisha mwili wa marehemu tayari kwa mazishi nyumbani Tanzania.
Asante
Maalim Mrisho
 --------------------------
Taarifa ya vikao.
Kama mnavojua shughuli ndiyo imeshatukuta. Tunawaomba watanzania wote na marafiki wa jumuiya kukusanya nguvu kuwezesha kusafirisha nyumbani mwili wa Marehemu Swalehe Msuya.
Kutakuwa na vikao viwili kwa ajili ya matayarisho.
1. Kikao cha kwanza ni cha kupanga mikakati (strategy meeting)
a. Leo Ijumaa saa 12 usiku nyumbani kwa Charles na Eunice Semakula
b. 503 Shadyside Circle, Hopkins, MN 55343
2. Kikao cha pili ni kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusafirisha mwili (Fundraising Meeting)
a. Kesho Jumamosi saa tisa jioni kwenye ukumbi wa shule ya Concordia Academy, Roseville
b. 2400 Dale St N, Roseville MN
· Account maalum ya benki itafunguliwa hivi karibuni.
· Unaweza kuwasiliana na watu wafuatao kwa taarifa zaidi;
1. Charles : 952 465 1130
2. Santos: 612 229 2250
3. Joyce: 612 735 1634
4. Eunice: 651 214 8345
5. Gracious: 763 439 5626
*Unaweza kutoa mchango wako leo au kesho
--------------------------------------------------- 
The Account Number opened for the contributions is as follows:
Name on the account: Charles Semakula
Routing # 091000019
Account# 5893103886

 
All checks should be written to Charles Semakula because that is the name used
to open the account for practical purposes.For those who have accounts with
Wells Fargo Bank they can transfer their contributions online using the name
above.
Please send this to many friends and
all Tanzanians to help for the burial of
late Swalehe Msuya.

Thank You
************************************************************

I just received the news of the passing of Mzee Swalehe Msuya in Minneapolis, Minnesota. I will always remember the words of wisdome you shared during my last visit to Minneapolis. Rest in Eternal Peace Mzee.

3 comments:

Anonymous said...

Rest in Peace.

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Kapumzike salama Mzee Msuya. Tuko pamoja katika hili...Amen

Anonymous said...

Mungu amlaze mahala pema mbinguni. Amen. He was a good man.