Tuesday, September 29, 2009

Mama Kikwete na 'Natural Look'

Wadau, niliona hii picha kwenye Dr. Faustine Baraza. Ilipigwa mwaka jana wakati wa ufunguzi wa maktaba pale Mlimani Primary School, iliyoko Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kushoto ni Mh. Asha Rose Migiro, Kati ni Mama Salma Kikwete. Cheki wanavyopendeza na nywele 'natural'!

10 comments:

Anonymous said...

Da chemi embu bandika picha yako tukuone. Kuna mtu juzi hapa anaitwa jongo kakushambulia kwa kutokuwa mkweli na unayoyasema. Kama kweli unaipenda nachro luuk, tuonyeshe picha yako.

or ndiyo "do as I say, not as I do"

Malcolm X responded to a question and said "we don't preach our religion, we live it"

Anonymous said...

Hawa ndiyo wanawake wanaoweza kusema "Im proud to African" na mtu ukawasikiliza na kuwaamini. Hawa wengine wanavaa manywele ambayo ukimouna "50 yards away" huwezi kujua kama ni mwafrika ama m-sri lanka. Wanasema kwamba wanaupenda uafrika lakini kisirisiri wanauchukua na kumlaumu mungu kwa kuwaumba waafrika. Wana manywele ya kizungu, na siku hizi pia uzuri wao pia unakuwa wa kizungu. Lakini bado wanajiita "black beauty, Im proud to be african," BOLLOX.

natafuta mchumba wa kuoa, awe msomi, mchapa kazi, akili timamu, na nywele zake za asili za kiafrika; miaka miwili sasa sijampata. Nakutana na wasomi, warembo, wachapakazi, lakini nywele zao za ki pakistani.

MAMA KIKWETE NA MAMA MIGIRO POKEENI SHIKAMOO KUTOKA KWANGU, KWA KWELI MUMEKONGA MOYO WANGU.

its a shame you both married and the age of my mum.

Chemi Che-Mponda said...

Mdau, 10:32, hebu bonyeza PROFILE, utaona picha yangu.

Anonymous said...

Sikumtambua Mama Kikwete bila kilemba. Amependeza kweli kweli! Mfano wa kuigwa akina mama. Mpende Mungu alivyowaumba!

Anonymous said...

Mama Migiro kavaa 'wigi', hakuna cha natural hapo!

Anonymous said...

Mfano wa kuigwa! Hebu acheni kutumia makemikali ya ajabu ajabu na kuvaa mawigi huko kuna joto la kuua!

Anonymous said...

dada chemi nimebonyeza profile yako. Ingawa nimeona umevaa kilemba lakini is "very impressive". Nakuomba uendeleza "crusade" hii na kuwafanya dada zetu waupende uzuri wetu.
Tena ikibidi kuwa na nywele asilia iwe ni "requirement" ya kushiriki miss tanzania.

Anonymous said...

Namunga mkono mdau wa 3:46am. Washiriki wa Miss Tanzania wawe na natural hair. MANDATORY!

Anonymous said...

Kigezo ca kugombea u miss Tz kikiwa ni nywele asilia nadhani ni wachache mno watakaogombea. Watu wakitoa nywele bandia ni kituko.
Hawa wamama kwakweli ni wazuri mnooooo!

Anonymous said...

Anapendeza natural! Akina dada nyie ni wazuri mkiwa natural. Acheni kupenda Fake look ya kizungu!