Sunday, September 13, 2009

Caribbean Festival Kwetu Cambridge Leo!

Wadau, leo hapa Cambridge, Massachusetts, tulivamiwa na watu wa Boston. Walikuwa hapa kwa ajili ya Caribbean Carnival ambayo infanyika kila mwaka. Mwaka huu walichelewa kuifanya, kawaida wanafanya August na ndo tunaaga summer (kipindi cha joto). Nimepiga picha kadhaa kwa ajili yenu.


5 comments:

kapinga said...

dada mbona we uliwategea wenzio maana hukusaula umevaa kama waenda ukweni wakati wenzio wamejiachia!!!!

Anonymous said...

wot does all mean

Anonymous said...

Very colourful! Nice!

Anonymous said...

hapa Toronto kuna caribana Festival. Ukipata muda uje siku moja.

Anonymous said...

Jamani mimi nikiangaliaga hizi carnivals (Mimi naishi London, UK) huwa nakumbuka sana Mdundiko. 'Kamuacha Mama yake kafuata mdundiko!!!'. Watoto tulikuwa tunatoka Regent Estate tunaenda mpaka kinondoni, jamani! Bado nakumbuka mambo ya ku-msinga mwali wa kindengereko, mara mwali wa kimakonde wanatoka mikocheni... Basi kila weekend ni mambo ya kukimbia kufuata ngoma kweli enzi zile...(miaka ya 70 na mwanzo 80) Dar palikuwa hapatoshi