Saturday, September 12, 2009

Mzungu Afungwa Kenya kwa Kubaka Wasichana Wadogo!

(Pichani Jon Cardon Wagner na Judy Nyaguthie (kushoto) and Fetha Nyamweru (kulia) ambao kazi yao ilikuwa kumtafutie vibinti!)

Hii imenikumbusha maovu waliofanya wazungu kadhaa Tanzania nikiwa mwandishi wa habari Daily News. Utasikia mzungu kafanya maajabu, halafu kesho yake huyooooo kaenda zake Ulaya au Marekani yaani kawa deported persona non grata. Wengine hata waliua! Nakumbuka moja alitaka kunya kwenye midomo ya maCD! Mwingine alikuwa eti mwalimu lakini anatembea na wanafunzi! Wengine walilazima malaya wafanya ngono na mbwa!

Hebu na Tanzania muwe waangalifu na hao wazungu wanaokuja nchini kwetu kutafta visichana. Wanajua wakifanya hivyo Marekani/Ulaya watafungwa! Ngono na watoto wadogo ni mwiko kwao!

************************************************************

NAIROBI, Kenya (AP) - A magistrate in Kenya has sentenced an American who founded a popular chain of coffee shops to 15 years' imprisonment for the statutory rape of three teenage Kenyan girls.

Principal Magistrate Teresia Ngugi says Jon Cardon Wagner paid two women $500 to bring the 13-year-old and two 14-year-olds to his house. A Nairobi court convicted and sentenced him on Friday.

Ngugi says his alibi was weak because it relied on the word of his friends.

Wagner's lawyer Mohammed Nyaoga says his client is the victim of an extortion racket and will appeal.'

Nairobi Java House began a culture of gourmet coffee drinking nine years ago and now has eight coffee shops in the capital. It is popular with wealthy Kenyans and expatriates. The chain also exports Kenyan coffee to America and Europe.
Kwa habari zaidi someni:

2 comments:

Anonymous said...

Tatizo letu ni kuwa tunabudu wazungu. hao mabinti walidhania jamaa anataka kuwalipia shule. Kumbe! Mzungu kwetu = Cash Cow

Anonymous said...

Aibu kweli! Mimi nalaani hao akina mama waliompatia hao vibinti! Eti walininunuliwa viatu!