Wednesday, September 02, 2009

Kunuka Kwenye MaBasi ya Hawaii Marufuku!

Huko Honolulu, Hawaii wana Halmashauri ya Jiji, wanataka kupitisha mswada wa kuzuia watu wanaonuka kupanda mabasi. Mbona kazi watakuwa nayo! Kuna watu wasiopenda kutumia madeodorant, wanatembea na vikwapa. Sijui itakuaje, "Wewe unakikwapa hivyo usipande basi!" au "Wewe una kikwapa, faini dola $500!". Wanasema wengine watafungwa jela! Sijui wataweka sehemu za kuogoea kwenye kona kusudi watu waweze kuoga wakianza kuwiva. Hapa Marekani kuna watu wenye allergies na madeo hivyo hawazitumii na wananuka. Wanasema wako 'natural'. Kweli wako natural. Na kama watapisha basi miji mingine hawatakuwa nyuma.

************************************************************
Honolulu seeking to ban 'BO' on buses

HONOLULU – Stinky city bus riders soon could get soaked. The Honolulu City Council is considering a bill that would impose up to a $500 fine and/or up to six months in jail for public transit passengers convicted of being too smelly.

The bill will be heard Thursday in committee. It would make it illegal to have "odors that unreasonably disturb others or interfere with their use of the transit system."
It doesn't matter if it's body odor or offensive fumes that emanates from clothes, personal belongings or animals.

Councilmen Rod Tam and Nestor Garcia co-sponsored the anti-odor bill.

The American Civil Liberties Union of Hawaii says it is concerned with laws that are inherently vague, which opens the door to discriminatory enforcement based on an officer's individual prejudices.

Mnaweza kusoma habri zaidi hapa:

http://www.kitv.com/mostpopular/20679481/detail.html

3 comments:

Anonymous said...

Bongo walete hiyo hakuna atakayeweza kupand basi! kwikwikwi!

Anonymous said...

Juzi nilikuwa kwenye basi hapa New York. Kulikuwa na dada mzuri kweli wa kihindi. Kavaa ndguo designer, alikuwa na begi designer lakini kikwapaaa! Watu wote walisogea na kukaa mbali naye.

SIMON KITURURU said...

DUH!:-)