Monday, September 28, 2009

Ngoma za Kusini

6 comments:

Anonymous said...

Da chemi ninapenda sana sauti ya komba akiimba na huyo mwenziye anayechanganya sauti ya pili, kuna wimbo mwingine waliimba wakati wa kampeni za Mwinyi, tumpambe maua ni mtamu kweli kweli na fikiri ni sauti za kingoni pia

Yasinta Ngonyani said...

Asante kwa kusambaza ngoma zetu za kusini nimefurahi kuona nawe unapenda kunyumba kwangu:-)

Chemi Che-Mponda said...

Da Yasinta, mimi wa kunyumba pia..Mmanda.

Anonymous said...

Asante sana Da Chemi. Yani umenifikisha Kunyumba leo.

Anonymous said...

Nyie akina ngonyani achani mameno zingi,hii lizombe ni ngoma ya ruvuma kwetu mimi tunajirusha na msolopa kwetu Lindi.Mpo hapo wanawali baaaa.

Anonymous said...

Unajua nyie wangoni msilete mambo yenu ya ajab-ajab hapa(nyumbi hi-bombi hii).Hizi ngoma mlijifunzia kwetu sisi wamakonde.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!
Sista nimependa sana kwa kweli walivyoimba.Na nawasifu watani zangu kwa kujua kuimba.Sisi WAMAKONDE si waimbaji wazuri kama watani zangu.Nimependa sana kwa kweli.Nimesikia sauti ya Bambo,Ngonyani,Kifaru,Hyera,Simba,Mapunda,ha ha ha ha ha!!Safi sana dada.

Ndimi,
mmakonde-ughaibuni.