Friday, September 11, 2009

Semenya ana Nyeti za Kike na za Kiume!


Makubwa! Habari zinasema mkimbiaji wa Afrika Kusini, Caster Semenya ana nyeti za kike nza za kiume. Inaelekea hizo za kiume zimeshika hatamu! Hana ovaries wana kizazi, hivyo hataweza kuzaa kama ni mwanamke. Pia ana mapumbu mawili ambazo hazijashuka. Sijui wataamuaje. Pichani wamempa MAKEOVER ili afanane zaidi na mwanamke.
********************************************************

IAAF urges caution over Semenya intersex claims

(CNN) -- The international governing body for athletics urged caution Friday after reports that the world-champion South African runner Caster Semenya has both male and female organs.

The front cover of You magazine shows Semenya after a recent makeover.

The Sydney Morning Herald in Australia and The Sun newspaper in Britain reported that gender tests ordered by the International Association of Athletics Federations (IAAF) show the 18-year-old is a hermaphrodite.

Neither paper named the source of their information. IAAF spokesman Nick Davies would not discuss the findings with CNN. "I simply haven't seen the results," Davies said.

"We have received the results from Germany, but they now need to be examined by a group of experts and we will not be in a position to speak to the athlete about them for at least a few weeks.

"After that, depending on the results, we will meet privately with the athlete to discuss further action." Has Semenya been treated fairly?
The IAAF issued a statement, saying no decision on the case will be announced until the experts can look at the results.

A final decision regarding the case is not expected before the IAAF Council meets in late November in Monaco, the IAAF said.

Davies also said the news reports should be treated with caution. The newspapers said extensive physical examinations of Semenya show she has no ovaries, but rather has internal testes, which are producing large amounts of testosterone. What is intersexuality?

Mnaweze kusoma story nzima hapa:

9 comments:

Anonymous said...

Hata wakimvalisha Drag bado ni dume huyo!

Kaka Trio said...

umeshaambiwa ana nyeti za kike na kiume kwanini unasema ni dume? je watu wote wanaoshindana ktkmichezo mbali mbali inabidi wapimwe? au ni njia nyingine ya ubaguzi ili kuwaengua baadhi wanaadamu ktk mashindano pale wanapokuwa wanafanya vizuri?

Kama ana nyeti moja ya kike na ameamua kuishi kama mwanamke huyo ni mwanamke mwacheni ashindane. Mie ni mwanaume na nina neti zote za kiume lakini bado siezi kukimbia kwa spidi kama ya kwake kwa ivo wamwache ashindane mtoto wa watu.

Maggie said...

Huyo ni transgender Da chemi, na wala hayakuwa mapenzi yake kuzaliwa hivyo, wengi wa hawa watu wanakuwa psychologically affected na wengine hata kucomit suicide kama jamii haiwi sensitive na jinsia zao, wengi baadae katika maisha yao wanaamua kufanya surgeries ili wawe jinsia moja(wanawake)na wengi wanatambua kuwa wao si wanaume au wanawake tangu wakiwa wadogo sana kama miaka mitano hivi, ni devastation kubwa sana hasa kwa wazazi. Meneja wa Semenya juzi amerisign baada ya kupata kashfa kuwa kwanini hakumuambia Semenya kuwa anapimwa ujinsia wake na badala yake alimdanganya na kumuambia anafanyiwa drug test kitu ambacho ni cha kawaida kwa wanariadha. Hopefully kwa umaarufu alioupata na pesa ataweza kuperform hizo surgeries ili awe jinsia moja,namuonea huruma sana ukizingatia ni mdogo bado (18), kweli hujafa hujaumbika. Kuna mwingine anaitwa Isis naye ni transgender na alipata umaarufu sana kupitia American Next Top Model, Tyra banks amempublicise, kuna documentary ilikuwa kwenye abc Television ilifanywa na Barbara Walters kuhusu watoto transgender inasikitisha sana, iangalie ipo Youtube.

Anonymous said...

why we have to wait for tests that will took 9weeks while we can pull down her pants and get answer within 30sec.

Samahani kwa kingeleza changu kibovu kama cha KANUMBA lakini nadhani msg deliver.

ni mimi KAYUMBA

Anonymous said...

Kama hana kizazi hapati periods! Huyo ni dume!

Kaka Trio said...

mdau hapo juu ukimvua pensi kila kitu kama demu unaambiwa ila ndio ivo hana mayai (overies). Pia kwa kutumia skana nazani wameona ana testes kubwa, testes ndio hutumika kuzalisha homoni zinazofanya mwanaume awe kama anavyoonekana. kumbe basi ndio maana Caster amejengeka misuli ka dume na ana kibesi kama dume vile vile

wakati huyu mdada anaonekana ana nyeti za kike pia wataalam hao wamegundua ana mapumbu yaliyojificha ndani ndani, hayaonekani kwa macho manake.

watu wa aina hii hawaitwi transgender lakini kwani transgender ni wale wanaume kabisaa wa kawaida lakini wanaamu kujibadilisha ili wawe wanawake, kwa kuondolewa nyeti za kiume na kwa kula dawa za kuwapa homoni za kike.

Tukirudi kwa Caster, watu wa aina yake wanaitwa intersex, kwamana ingine wana jinsia zote mbili kwa mpigo tena sio kwa mapenzi yao, ni kwamba wameumbwa ivo

Anonymous said...

pumbu kitu gani bwana!huyu ni demu tu, kwani nyeti aliyonayo ni mboo au kuma?

Anonymous said...

Huyo ni mwanaume zaidi ya mwanamke.

Anonymous said...

Kwa kweli hata mimi namwona ni mwanaume zaidi ya mwanamke!