Friday, September 25, 2009

Wake wa Viongozi wa nchi za G-20

Naona leo Mke wa Rais Obama, Michelle Obama amepozi na wake wa mawaziri wa fedha na magavana wa mabenki ya nchi za G-20. Kikundi cha G-20 kilundwa mwana 1999 kuongelea maswala ya uchumi wa dunia.

Nchi za G-20 ni:

Argentina
Australia
Brazil
Canada
China
France
Germany
India
Indonesia
Italy
Japan
Mexico
Russia
Saudi Arabia
South Africa
South Korea
Turkey
United Kingdom
United States of America

4 comments:

Anonymous said...

Vyote vizee vimekwisha

Anonymous said...

Na wewe unayesema eti vizee, umejitizama kwenye kioo leo?

Anonymous said...

sasa wewe unayebisha sio vizee mbona huna hoja ya kupinga? mbona ni vizee tuu hivyo vishajichokea?

Anonymous said...

Wote wazuri! Hao wabichi unayowataka watazeeka pia!