Monday, September 07, 2009

The Bleeding Heart


Habari zimeletwa na Stewart Maleko:

Kitabu kiitwayo 'The Bleeding Heart' kimezinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Ni kitabu cha mashairi yaliyotungwa na Ndg Elishilia Kaaya ambaye ni Mkurugenzi wa AICC. Kitabu hicho chenye mkusanyiko wa mashairi mbalimbali kimeidhinishwa kutumiwa kwa ajili ya kufundishi Fasihi ya Kiingereza katika tanzu ya Ushairi. Lakini pia ni mashairi ambayo yanampa changamoto msomaji kuhusu kujitafakari yeye kama Mwafrika na Mwanadamu. Kwa hiyo ni kitabu kitakachowafaa watu wengi mbalimbali - hasa Watanzania wanaoishi nje ya Tanzania.

Kwa taarifa zaidi, wasomaji wanaweza kutembelea website ya Arusha Times:

3 comments:

Fadhy Mtanga said...

I'll find my copy.

Anonymous said...

Saounds like an interesting book.

Anonymous said...

So why is the heart on the cover crying?