Friday, May 16, 2008

Ellen DeGeneres anaoa!


Yule shoga ambaye anajulikana kuliko wote hapa Marekani, Ellen Degereneres (50) ametangaza leo kuna anaoa! Ndiyo, anaoa na siyo kuolewa! Anamwoa mpenzi wake, mrembo Portia DeRossi.

Jana, mahakama huko California waliamua kuwa ni ruksa kwa wasenge na mashoga (wapenda jinsia moja) kufunga ndoa kama wanavyofanya hapa kwetu Massachusetts. Bila kuchelewa Ellen katangaza habari yake 'njema'.
Kama mnakumbuka zamani shoga wa Ellen alikuwa mcheza sinema, Anne Heche. Walikorofishana halafu Anne alienda kuolewa na mwanaume!
Hivi kwenye honeymoon wanafanya nini hao?

*************************************************

LOS ANGELES, California (AP) -- Ellen DeGeneres is putting the California Supreme Court ruling in favor of gay marriage into action -- she and Portia de Rossi plan to wed, DeGeneres announced during a taping of her talk show.

During a taping of her TV show, Ellen DeGeneres says she plans to marry her girlfriend, Portia de Rossi.

DeGeneres was taping the episode of "The Ellen DeGeneres Show" on Thursday, the day the state's high court struck down California laws against gay marriage, and it was to air Friday, a person close to the production said.

The person, who was not authorized to discuss the matter publicly, spoke to The Associated Press on the condition of anonymity.

Citing the court's ruling, DeGeneres said she and girlfriend de Rossi ("Ally McBeal," "Nip/Tuck") would be getting married.

De Rossi, 35, who was in the studio, and DeGeneres, 50, were applauded by audience members, the person close to the production said.

7 comments:

Anonymous said...

DUH! Zaeni matunda mema!

Anonymous said...

Inasikitisha lakini hakuna tunachoweza kufanya zaidi ya kuwaombea kwa Mola waweze kujua ukweli ili ukweli uwaweke huru. Hata maana ya binadamu kuumbwa kwa jinsia tofauti inapotoshwa! Kaaazi kweli kweli! Dada Chemi nawe una mpango wa 'kuoa'? Manake jimbo lako linaruhusu ndoa za jinsia moja!

Anonymous said...

Unatuuliza wanafanya nini honeymoon? si wewe utwambie unayejifagilia kuwa huko kwenu Massachusetts wanaoana?! Sisi kwetu tuliko na tulikotoka Bongo, tunashukuru Mungu hakuna mambo hayo ya "rukhsa" kwa laana hiyo, na Mungu apishe mbali. Amina.

Chemi Che-Mponda said...

Kibabu, mimi nimeolewa na mwanaume. Kwa hiyo siwezi kuoa au kuolewa na mwingine.

Hapa kazini kwangu kuna dada moja muwazi kweli kuhusu mambo yake ya ushoga. Kakaa kidume dume ila sauti laini ya kike. Nadhani hata wanaume wakiongea naye kwenye simu wanamtamani kweli lakini ukimwona physical ni dumejike. Basi alikuwa na mpenzi wake (shoga mwenzake) mapenzi yao makali kweli kweli. Walinunua mpaka condo hapo Backbay Boston. Sijui walienda wapi, basi shoga mwingine kamtamani yule mpenzi wake ukawa ugomvi! Wakaachana ghafla. Yule dada mfanyakazi mwenzetu kawa mnyonge kweli kweli. Siku hizi kachangamka anasema anamtogoza shoga mwingine. Hao watu wako SERIOUS si mchezo!

Anonymous said...

Huu ni ugonjwa wa akili, ilijulikana hivyo tangu zamani. Lakini bahati mbaya kundi fulani la vichaa hawa wakafanikiwa kushawishi watu wawakubali na kuwaumilia, athari zake ni kubwa sana. Hapa Uingereza mashoga wanaume wanaongoza kwa UKIMWI wa kupeana makusudi, na tena huwa wanashangilia na kufanya sherehe wanapogundua kuwa wako HIV positive! Huwezi kuamini lakini ni ukweli mtupu, na hizi habari zimeandikwa sana. Wanadai kuna raha ya "kipekee" mtu kuwa na HIV! Watafutaji wa virusi hujulikana kama "bug chaser" wakati wale wagawaji huitwa "gift givers". Andika haya maneno kwenye google uupate mshangao wako!

Anonymous said...

Nimekuelewa Dada Chemi. Nilikuwa nataka kupata uhakika kama umeolewa au la!

Anonymous said...

mh kweli jamani dunia umefikia mwanzo wa mwisho!!hao hio 'asali ya mwezi' wataishia kutiana ma-dildo tu na madole na kunyonyana basi ndo raha yao hakuna reproduction!!dhambi tupu kwa Muumba!!