Saturday, May 03, 2008

Sanaa ya Kupaka Rangi Mwili!


Wadau, hao akina dada wako uchi kabisa. Ila miili yao imepakwa rangi. Sanaa huo unaitwa, Body Painting, (kupaka rangi mwili). Ilikuwa sehemu ya ile show ya kupata Mrembo mnene, FAT Chance. Mwaka jana walifanyia Ufaransa.
Wamependeza au siyo!

8 comments:

Anonymous said...

Ahhh unanichekeshaga wewe dada yaani ikija mambo ya unene unapenda kujipa moyo sasa wamependeza nini hao matinginya wenzio jamani.fanya diet

Anonymous said...

Kitu ambacho nimependa hapa ni kwamba wako uchi. Nguo zao ni rangi. Wanapendeza lakini ni kweli wameshiba. Na Da' Chemi tunajua wewe ni mshabiki mkuu wa Mo'nique.

Anonymous said...

Kapendeza huyo mwenye blue!!!

Anonymous said...

Da Chemi tukuone na wewe basi umepakwa rangi mwili mzima.

Anonymous said...

ehee mimi sitaki kucheka afanyeje ehee watu tutaota bure

Anonymous said...

nawewe upo wapi hapo

Chemi Che-Mponda said...

Mdau wa 11:39PM, simo. Ila mwaka huu kama watafanya tena nitajaribu bahati yangu.

Anonymous said...

chemi ninavyokupendea we mzungu bwana ndomana upo marekani..angekua mwingine asingeweka hizo comments,tunawachefuaga hao wa blog nyingine hawaweki kabsa au anajibishana