Friday, May 16, 2008

Staili Mpya ya Viatu vya Akina Dada

VIATU VYA KARNE YA 21!
Naona Akina Dada wanaovunjika miguu watakuwa wengi huko Emergency Room. Hivi unatembeaje na hivi viatu? Eti hivi viatu vimekuwa fesheni Japani.10 comments:

Subi Nukta said...

Ah, Da Chemi angaza jicho kwenye Fashionjunkii ya RoseMary uone aina moja hivi ya mtindo wa kiatu kisigino chake kipo sehemu ya mwanzo hadi kati tu ya mguuni kisigino hakuna, mguu unaelea hewani. Tizama hapa, kiatu chenye wekundu na kingine cheusi: FashionJunkii Love Affair

Anonymous said...

hovyo..hawa wapumbavu ehhhh

Anonymous said...

Eeeh mola! kama maendeleo ndo haya,basi bora chukuwa roho yako kabla maendeleo haya hayajafika kwetu Bwejuu na Paje, mie siyaone kabisaa!

Faustine said...

Hizi fasheni mpya zina-defy anatomy ya mwili wa binadamu na zinaweza kuleta madhara ya muda mrefu kwenye miguu au uti wa mgongo.

Mdau
http://drfaustine.blogspot.com/

Anonymous said...

Mtume! Kweli watavunjika miguu!

Anonymous said...

Da Chemi, frankly, this is the first time nimetuma comment kwenye blog yako, .... kidogo naandika nje ya maada hii.. Ni ushauri kwako kuwa you are better off writing things like fashions, latest news eg hiyo report ya moto etc KULIKO KUANDIKA KUHUSU MATAKO, SIJUI MAKALIO,EVERYTHING ON THOSE LINES ETC, YAANI HAVIENDANI NA WEWE, NDIO MAANA MOST TIMES PEOPLE ARE ATTACKING YOU, WE EXPECT BETTER FROM YOU NOT THOSE CHEAP RUBBISH STORIES THAT YOU SEEM TO FIND VERY FANCINATION.

Anonymous said...

Punguani utamjua tu. Nina maanisha anony 4:54pm. Kama hupendi kusoma content ya blog ya mtu USISOME! HULAZIMISHWI KUSOMA BLOGU!

Da Chemi Endelea na kazi ya kutulea habari mixed grill! Hata hiyo habari ya matako leta!

Anonymous said...

Chemi leta habari zote tunazopenda wadau. Kwa mfano ningependa sana wewe ukiandika habari za kutombana (nimetumia hili neno makusudi, ni mtu mzima sina haja ya kuficha ninachofanya na mke wangu wakati kinajulikana). Ndio, naomba uwe unazungumzia habari hizo hasa kwa ajili ya wanawake maana mke wangu ana umri na umbo na saizi kama ya kwako, nina uhakika angependa kujua watu wanaofanana naye wanasemaje kuhusu hiyo starehe. Nami nikisoma uzoefu wako nitauamini zaidi kwamba una nafasi kubwa ya kufanana na mazingira ya chumbani kwangu. Visichana vidogo vinaandika habari za ngono kwa ajili ya "bongo fleva" wenzao, na sie "zilipendwa" tunahitaji zetu kwa ajili ya "zilipendwa" wenzetu. Narudia dada Chemi, andika kuhusu matako na kila kitu, tunazipenda habari hizi maana zinatuhusu.

Huwa naandika jina langu lakini leo siandiki (japo natumaini kwa style hii ya kuandika umeshanitambua). Asante.

Anonymous said...

Anony wa 6.39, inaonekana punguani ni WEWE!!!, Hivi kweli kama unampenda na kusupport hii blog, basi hujasoma comments zilizorushwa kwenye topic Chemi aliyoulizia ya wale waliotokomea Norway - chini ya sponsorship' - kweli punguani utamjua tu, hawezi hata kusimamia ukweli na kumshauri mtu vizuri, - Da Chemi mimi namsupport anony wa 4.54 - why should you let people think or even doubt your qualifications on your journalist profession after or when they read some of your articles on the blog - Girl!! You can do better than that, stand up and support that Personality which you already have!! Achana na mapunguani kama hawa wanaokupaka mafuta na mgongo wa chupa. Ni hayo tu.

Anonymous said...

kama habari mbaya zinakuchosha anzisha blog yako uwe unajiandikia habari zako nzuri kisha soma na familia yako, wengine hizo za matako ndo raha yetu, blog ni bure anzisha yako leo, dada chimi achana na huyu kichaa tupe news, tena twambie vipi kuhusu obama?? nini kinaendelea?? je atakuwa mgombea wa urais??