Thursday, May 29, 2008

Zimamoto Cambridge


Jana kulikuwa ni fire alarm kwenye jengo nalo kaa hapa Cambridge. Jirani yangu aliunguza chakula alichokuwa anapika. Moshi ulisababisha alarms za jengo ziwake! Wakaja zimamoto. Huyo ni mmoja wa waliokuja. Bahati mbaya sikupata jina lake.

15 comments:

Anonymous said...

du kweli utabidi uwame hiyo state kila siku mazima moto,mimi ilishawahi kunitokea wakati fulani nilikuwa Ireland ohh my god dakika chache magari ya fire yalikuwa matatu nje

Anonymous said...

Chemi, kumbe bado uko cool

Anonymous said...

dada chemi ni juzijuzi tu ulilipoti tukio kama hilo(poleni sana kwa mioto).halafu mbona iyo picha wakati ume-concentrate kuangalia mpiga picha huyu fireman anaonekana kukuegemea zaidi vipi kulikoni.

Anonymous said...

Mnapendeza sana chemicola.

Anonymous said...

pole sana dada chemi,leo tungekuwa tunazungumza mengine,may god bless you always, lakini inaonekana hukuwa na michecheto au kupigwa na butwaa.hiyo ndio bahati yakua mtoni kwa azizi ally,kama ungekua bongo,kila kitu kingeibiwa na fire au majambazi mtoto ingekuwa ndio.tender ya chee kwao hiyo,kweli wazunguzu wanawajibika,sijui hali hiyo bongo lini,,,inshallah mafisadi waungue moto.ndio nchi yetu infrastractures na mengineyo yatakua poa. cool dada chemi...still you look bomba.ujazeeka ,ulaya haidanganyi.
mkereketwa

Anonymous said...

mpe mambo chemi brazamen, kakaako huyo...,

Anonymous said...

Fanya mazoezi japo kidogo.mtoto mdogo umejiachia hivyo.

Anonymous said...

hii blog sasa naona ni ya wewe kujitangaza, haina mambo ya muhimu bali ubinafsi tu! mara ona fire department wanavyofanya kazi, mara ooh ona hiki mara kile! Hivi nani hajui hayo? Utatuonesha sasa hata jiko lako ninvyowaka kama vile hatujui. Sasa kama sio kujiuza na kujipendekeza ni nini maana mtu yuko kazini ushajipeleka na kuanza kupiga picha na tabasamu juu. How cheap can one become??! Shame on personalising the blog this cheaply. Be African! Ndio maana heshima yenu inashuka huko.

Anonymous said...

Hehehe! Naona kuna mtu kakuonea wivu Da Chemi! Unapiga picha na fireman tena handsome hivyo. Lazima inamwuma kwa vile si yeye. Endelea kutuburudisha.

Anonymous said...

Duh ana June 03, 2008 4:09 AM una domo chafu. Chemi una kazi kweli kweli

Chemi Che-Mponda said...

Ukweli, mimi sikuomba kupiga picha na huyo fireman, yeye ndiye aliomba kupiga picha na mimi. Wakati huo mambo yameshakuwa All Clear. Nilikuwa nimewaelezea kuwa nina blogu na watu wanaiona Afrika.

Anonymous said...

tupe mambo

Anonymous said...

sasa we unataka kusutwa..kilichokutuma ukajifagilia una blogu ni nini?au kujishaua tu?ndo nayeye akakubabaikia akataka kupiga picha?halohalo

Anonymous said...

namba ya simu je ulipata ?

Anonymous said...

Kuna watu wanamwonea Da Chemi gere hapa. Kama mnataka akupe namba ya huyo faya si mseme!