Friday, March 27, 2009

Kofia la Aretha Franklin


Mwimbaji maarufu, Aretha Franklin, alivaa hii kofia safi sana siku alipoapishwa Rais Obama. Wazungu waliishangaa sana na wanawake weusi waliipenda kiasi kwamba watengeneza kofia walishmabuliwa na oda kibao! Hapa Marekani ni mila ya wanawake weusi kuvaa kofia kanisani, sehemu zingine utadhani wanashindana nani kavaa kofia nzuri zaidi.

No comments: