Monday, March 30, 2009

Ajali ya Treni Dodoma


Wadau, nimeona kwenye ippmedia.com kuwa treni ya Central Line imepata ajali huko Dodoma kati ya vituo vya Gulwe na Msagali. Wanasema kuwa watu 7 wamekufa na watu 9 wameumia.

Bado natafuta habari zaidi.

No comments: