Friday, March 06, 2009

Steven Kanumba na Wema Sepetu


(Picha kutoka Global Publishers)

Wadau, wengi wetu tunaelewa mapenzi yanavyoenda. Leo unampenda mtu kupita kiasi, kesho unamchukia, huna hamu naye. Unaweza kumwona mtu na kumpenda mpaka unaona unachangayikiwa huwezi kufikiria kitu kingine. Na pia tunaelewa kuwa kuna yale mapenzi ambayo si mapenzi ila kutaka raha ya kimwili tu. Mtu akitosheka anaanza kwenda pengine. Unaweza kumpenda mtu mapaka ukaona wengine wana sura mbaya kama Chakubanga. Yaani mapenzi ni kitu cha aina yake. Lakini yakifa....mhhhh!!!
Hii picha ilipigwa mwezi Novemba mwaka jana. Unaweza kusoma maelezo hapa:
http://worldhotstars.blogspot.com/2008/11/mapenzi-ya-wema-sepetu-na-kanumba.html

4 comments:

Anonymous said...

Da Chemi utakuwa umetukana wengine. Unasema Chakubanaga ana sura mbaya. Wenzako wanamwona handsome!

Anonymous said...

mdau wa kwanza, hahaha

MS GBennett

Anonymous said...

kaka yangu KANUMBA, wewe ulikuwa mkirsto safi sana siku za hivi karibuni sijui ibilisi gani alikuingia mpk ukajikuta unapata kudhalilika hadharani. mi nakushauri kama dada yako wa ktz wewe uanfahamu vizur maandiko i mean bible kama kweli unataka kuoa, biblia inasema mke mwema mtu hupewa na bwana, ebu kaa chini utafakari ni wapi ulipoanguka ukatubu alaf Mungu atakupa haja ya moyo wako, listen wat God tells u. nitapenda kusikia siku 1 umeoa and u are happily married. Mungu akusaidie sana

MS GBennett

prisqar said...

mtoto mshenzi sana wa tabia huyu, ana kichwa mbovu..kanumba z very right to make ha suffer, she sounds insane and very inneed ov a psychiatrist owise dogo lnapotea