Friday, March 13, 2009

Uchawi Kenya

Jamani, wachawi bado wapo Afrika. Hebu cheki huyo Bi Kizee, na inaeleka yeye kweli ni mchawi hakisingizwa!
Bi Kizee Karutu Chai wa Kilifi, Kenya akisindizwa na polisi kwenda kuondoa uchawi aliyomfanyia mtoto wa miaka 10 huko kijijini kwao!

5 comments:

Anonymous said...

Siyo Afrika tu, hata hapa Marekani wapo kibao sema tu si kwa uwazi. Nenda kule New Orleans au Miami ukaone...

Anonymous said...

hao ndio askari kanzu wa kenya? mbona wana sare mbaya hivyo? mimi nilifikiri kwa kujidai kwao kuwa ndio wasomi wa east africa wangekuwa angalau na sare bora kwa askari wao. juu rangi nyengine na chini rangi nyengine tena ni kama za wafungwa kule segerea!!! duh kenya tambarare!!!

Anonymous said...

jamani aitwe aulizwe dawa ya UKIMWI wadau mnaonaje hii si raslimali akili jamani???

Chemi Che-Mponda said...

Mdau wa 1:58 asante kwa mchango ako. Sina haja ya kwenda New Orleans. Hapa Boston wapo kibao! Wanaitwa Wiccans. Kuna actress mwenzangu yeye ni mchawi wazi wazi. Yaani kabla ya kuanza rehearsal au onyesho anatundika mavitu vyake na kusema maneno ya ajabu.

Anonymous said...

hakuna uchawi wala uganga kwa wamwaminio Mungu na Yesu kristo wa nazareth.hesabu 23:23