Tuesday, March 03, 2009

Msiba ITV - Rehema Mwakangale

Picha na maelezo kutoka Michuzi Blog:

Mtangazaji wa ITV Rehema Mwakangale (kulia) ametutoka leo asubuhi katika hospital ya Mikocheni alikokuwa amelazwa. Kwa Mujibu wa taarifa kupitia Radio One, mipango ya mazishi itakuwa kwa bibi yake Sinza karibu na Deluxe bar. Mola ailaze roho ya marehemu peponi. AMINA/AMEN.

Kwa habari zaidi soma:

http://www.ippmedia.com/ipp/guardian/2009/03/04/132754.html

4 comments:

Anonymous said...

Nimelia. Siamini. Mungu amlaze mahala pema mbinghuni. Amen.

Subi Nukta said...

Pumzika pema Da Rehema! Pole kwa waliokuwa wanafamilia, ndugu, jamaa, rafiki na wafanyakazi!

Anonymous said...

Poleni sana wanafamilia, wafanyakazi na marafiki wa Rehema Mwakangale. Vifo vinatokea kila siku ila ukweli kifo hakizoeleki kila siku ni mshtuko na Simanzi. Rey ametutangulia tumuombee salama apumzike kwa amani, kwani nasi njia yetu ni hiyo hiyo wakati wa Bwana ukifika.Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana Lihimidiwe. Gloria Kimaro - Arusha

Simon Kitururu said...

R.I.P Rehema Mwakangale