Wednesday, March 11, 2009

Aliyempiga Mzee Ruksa!


Pichani ni mtuhumiwa Ibrahim Said Sultan maarufu kama (Ustaadh) ambaye alimzaba Rais Mstaafu, Alii Hassan Mwinyi kibao akiwa jukwaani akihubiri kwenye sherehe za Maulidi.

Cheki wananchi walivyo na hasira! Mzee Ruksa anapendwa! Bahati katoka na uhai wake hapo!

Kwa habari na picha zaidi mtembelee Kaka Michuzi:

2 comments:

Anonymous said...

Duh! bongo safi sana, mtu anapewa kibano mbele ya polisi, halafu polisi wanaona poa tuu, saiz yake.

Ingawa huyu kijana amekosa heshima kwa mzee ruksa, lakini hii "no nonsense attitude" yake mimi nimeipenda. Ningeisapoti kama ingekuwa ya kisiasa na kuwachapa wezi kama mkapa, sumaye, kikwete, lowasa na wengineo. Kwa kuwa huyu bwana mdogo ajenda yake ni ya kidini, ukweli ni kwama hakuwa na fikra za maslahi ya wananchi, bali kufanikisha itikadi zake ambazo haziwahusu watanzania wote.

"I hope" machizi watampiga kipara jela ili akome, fala huyu.

Anonymous said...

fala mwenyewe,watanzania bwana hawatumii hata akili kazi ni kuendeleza ushabiki kwa kila kitu sishangai kwenye dini.kwani hata papa benedict amekataza matumizi ya kondom atakuwa huyo wa ruksa ni haki yake kupigwa hata risasi.