Tuesday, March 31, 2009

Mh. Andrew Chenge Kizimbani kwa Kuua!

Kutoka Michuzi Blog:

Mbunge wa jimbo la Bariadi Magharibi Andrew Chenge (mwenye suti na tai) amepandishwa kizimbani jana katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar, na kusomewa mashtaka matatu baada ya gari aliyokuwa akiendesha kugonga Pikipiki aina ya Bajaji na kusababisha vifo vya watu wawili.

Mwendesha mashtaka wa Polisi David Mwafimbo alitaja makosa yanayomkabili Chenge kuwa mawili ni ya kusababisha vifo vya watu wawili, na kosa la tatu ni kuendesha gari kwa uzembe barabarani ambapo mtuhumiwa alikana mashitaka yote.

Kesi hiyo inaunguruma mbele ya Hakimu Emerius Mchauru na imeahirishwa hadi April 30 mwaka huu. Aliachiwa kwa dhamana ya shilingi Milioni moja na mdhamini mmoja!
***************************************************
Wadau, ninafurahi kuona kuwa 'WAKUBWA' wanashtakiwa kama wananchi wengine siku hizi Bongo. Enzi 'zile' kesi kama hiyo inanyamazishwa kimya kimya! Nakumbuka kesi fulani miaka ya 80, mzito alimgonga mtu na gari kwenye barabara ya Port Access (wakati ule barabara nzuri kweli), na wala hakupelekwa mahakamani. Jamaa alikuwa anaendesha mwendo wa kasi. Hata kwenye gazeti habari haikuandikwa!

12 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Huyu mbunge wangu kweli kazi anayo...Ingekuwa kwenye hizi nchi za wenzentu angekuwa amekwisha kisiasa lakini sitashangaa kama kesi atashinda na kushinda tena ubunge kipindi kijacho. Uchaguzi uliopita alikuwa anagawa kanga, vitenge, sukari, chumvi, mabati, baisikeli na hata pikipiki. Ni lini "too much is too much?" Aibu na haifai kabisa

Anonymous said...

From wikipedia:

Andrew John Chenge is Tanzanian politician and a Member of Parliament in the National Assembly of Tanzania. After serving as Attorney-General, he was appointed as Minister of East African Affairs in the Cabinet named on January 4, 2006.[1] He was then appointed as Minister of Infrastructure on October 15, 2006,[2] retaining that post in the Cabinet named on February 12, 2008.[3] He resigned on 20 April 2008 after it was earlier revealed by UK's Serious Fraud Office that he holds US$ 1million (over 1 billion Tanzania shillings) in an overseas offshore account as kickbacks from a controversial military radar deal between UK's BAE Systems and Tanzania government which he partly oversaw while saving as Attorney-General.

Anonymous said...

Hapo inachezwa sinema tu....mwisho wa yote "starring" atatoka mshindi...si mnakumbuka alipotuhumiwa ufisadi alipokewa kwa mbwembwe kama shujaa fulani huko jimboni kwake? Hata hao polisi na waendesha mashitaka wanazuga tu...mbona hawajumuishi kosa la kuendesha gari lenye expired insurance wakati waandishi wa habari wameonyesha hiyo sticker ya bima ilokutwa kwenye gari la Mheshimiwa? Tusubiri tuone movie yenyewe manake hii bado ni trailer tu.

Anonymous said...

fine 2ok shs tha's it. utaikumbuka hii sentensi

Anonymous said...

I KNOW IT'S HARD TO SWALLOW BUT THERE'S NO ALTERNATIVE. COULD YOU PLEASE PUBLISH MR CHENGE'S NEWS SO BLOGERS CAN COMMENT FREELY HERE!
REASONS IS, MR MICHUZI DECIDES TO REMOVES SOME GENUINE COMMENTS REGARDING WITH THIS CASE.
MY AIM AND OTHERS IS TO HELP FAMILIES WHO LOST THEIR LOVING DAUGHTERS TO KNOW THEIR RIGHTS AND IF POSSIBLE, TO GET SOME LEGAL HELP IN TERMS OF WHAT HAPPENED TO THEIR DAUGHTERS, WHY MR CHENGE DID NOT REPORT TO THE POLICE STATION SOONER AFTER ACCIDENT AND DECIDED TO GO HOME?
WHY HE WAS DRIVING CAR WITH NO INSURANCE?
IF HE WASN'T DRUNK, WHY HE DECIDED TO GOHOME FIRST AND NOT POLICE?
IS POLICE STATION WAS NOT SAFE PLACE RATHER THAN HIS HOME?
WHERE THOSE WITNESSES WHO HELPED MR CHENGE RIGHT ON THE SPOT WHEN ACCIDENT HAPPENED?
DID POLICE CALL THEM FOWARD TO ASSIST WITH THEIR INVESTIGATION? YUP! CUZ ONE THEM CLAIMED HE DROVE MR CHENGE TO HIS HOME!
MR CHENGE ADMITS HE WAS DRIVING BTN 80-100 KM/HR. THAT'S MOTORWAY SPEED! THE ROAD WHERE ACCIDENT HAPPENS ALLOWS DRIVERS TO DO SUCH A SPEED. IF SO IS THAT MOTORWAY?
WHY HE CLAIMS HE WAS HIT WHILE HIS CAR SHOWN TO BE SEVERELY DAMAGED IN FRONT AND BAJAJ WAS BADLY HIT AND COMPLETELY LOST ITS REAR SIDE?
WHERE IS BAJAJ DRIVER? DOES THE OWNER HAVEN'T GOT A CLUE WHEREABOUT HIS EMPLOYEE IS? SHE SHOULD BE ASKED HOW ON EARTH CAN SHE PUT TRUST ON SOMEONE WHO DOESN'T KNOW WHERE IS HE LIVING!
WHAT HAPPENS IF HE COULD HAVE DISAPPEAR WITH HER BAJAJ? WHERE COULD SHE FIND HIM?
DOES HE HAS NO RELATIVES WHO CAN HELP HIS ARREST? IF SO THE OWNER MUST BE RESPONSIBLE AND SHE MUST PRODUCE A COPY OF HIS PHOTO, DRIVING LICENCE AND OTHER DOC'S FOR HIS ARREST...YES HE IS WANTED MAN!
WHO OPENED THIS CASE? IF THE PROCECUTORS, DOES THE GRIEVING FAMILIES WHO LOST THEIR DAUGHTERS ARE ABLE TO DO SAME THING IF THEY MAY NOT BE SATISFIED WITH THE RULINGS?
WHY MR CHENGE HE HAS TO BE BAILED. IS HE GIVEN MAXIMUM SECURITY TO PROTECT HIM AND HIS FAMILY CUZ FOR THE SAKE OF HIS SECURITY, HE SHOULD BE REMANDED IN CUSTODY!
THERE 'RE SO MANY QUEZN I BELIEVE SOCIETY WILL BE SO KEEN TO KNOW WHY THIS GUY HAS BEEN GIVEN PREFERANTIAL TREATMENT COMPARED TO OTHER DRIVERS WHO COMIT SAME OFFENCE?
ANYWAY, I M GONNA END UP HERE BUT HOPEFUL, OTHER BLOGERS WILL COME UP WITH THEIR QUES, OPINION AND YOU MAY PUBLISH 'EM.
YOUR FRIEND MICHUZI DECIDES TO REMOVE SOME GENUINE CONTRIBUTION ON THIS MATTER (INC YOURS) FOR HIS OWN REASONS.
I DON'T BELIEVE IN MILLION YEARS YOU MAY GO THERE AND WRITE STUPID COMMENTS. I THINK HE HAS HIS PERSONAL INTEREST WITH THIS GUY..
WE ALL KNOWS HOW SOME JOURNALISTS BEEN UNDERMINE THEMSELVES FOR BEING CHEAP! YOU KNOW WUT I MEAN

Anonymous said...

jamaa anaonyesha jinsi gani vifo vya hao kina dada visimvyogusa kabisa. no remorse at all regardless he may have been killed sweet two girls. big smile on his face...this man is useless cunt never mind his attitude.
and for god sake, he knows one of the girls. he never open his dirty mouth just to say...sorry kwa wafiwa. hata kama hujaua wewe lakiini msiba unakugusa kiasi fulani. huyo mmoja wao ulikuwa ukimtomatomasa maziwa huko kwenye cassino mwanza. damn

Anonymous said...

Ditopile alivyoua alionekana ana huzuni. Huyo Chenge kenge kweli. Anachekelea tu! Atajibu mbele ya Mungu!

PIUS said...

Dada Chemi, Hii ndio wanasema "Equal justice under the law",, haki sawa kwa wote mbele ya sheria.
Ni utamaduni unaofaa kudumishwa, si tu kuishia kuwafikisha mahakamani 'vigogo' ambao siku za nyuma walikuwa hawagusiki wala hawakamatiki pale wanapokosa bali 'haki kutendeka' wakikutwa na hatia, hili la pili ndilo muhimu zaidi.

Anonymous said...

chenge may die due to depression before completing these charges one killings on road accident and others radar's bribery&BAE System.
he smiling mean frustration on highest level.

Anonymous said...

Anony wa 7:28, You have a Point there, But Sometime I wish we did not have to wait for God to do us justice rather we should take the matter on our Own! Haiwezekani Mtu anaua Dada Zetu Wawili halau anachekeleeeaaa, utafuikiri yuko kwenye kuomba kura! Kuna siku nchi hii itawaka moto na hakuna atakayeweza kuuzima! TUMECHOKA!!!!

Anonymous said...

MKE WA CHENGE ANATAKA KUMUUA LUCY MAYENGA. KWA SABABU YA KUGOMBEA UCHAGUZI SHINYANGA. DADA CHEMI HII NI AMINI USIAMINI!!!

Anonymous said...

aaaah, ndiyo maana alipata ajali au ile ajali haiusiani na mama chenge kutaka afariki? maana haya mambo ya uongozi nayo? maskini dada wa watu.