Wednesday, September 30, 2009

Dodoma 1950's



Hii picha ilipigwa 1953, wakati tuko chini ya Ukoloni wa Uiingereza. (British Empire) Mnaona kituo cha reli ya kati na nyuma, Dodoma Hotel.

6 comments:

Anonymous said...

Enzi hizo Dodoma Hotel ilikuwa kwa ajili ya wazungu tu! Mweusi ni mhudumu!

Anonymous said...

duh! kumbe zamani dodoma kulikuwa na snow?

Anonymous said...

Tanzania kwa kweli haiendelei. Majengo yale yale, ufisadi umezidi badala ya maendeleo watu wanaiba pesa. Thanx Chemi, umeniibulia chuki nilizonazo na viongozi wetu.

Mdau US

Ng'ombe said...

Out of topic

Dada CHEMPONDA nakufananisha na huyu dada anayecheza katika series ya "Grey's Anatomy" ni ww au?
Jina(character) la dada silijui.Anacheza kama nurse.

Chemi Che-Mponda said...

Mdau wa 6:34PM, asante kwa kuulizia. Sijawahi kuwa kwenye Grey's Anatomy, nilikuwa kwenye episode moja ya Brotherhood, na pia Afrtershock Beyond the Civil, ambayo inaonyeshwa kwenye History Channel mara kwa mara. Kama networks watachukua show (Fall/Winter Line up), mtaniona kwenye See, Kate, Run (pilot episode) nikiigiza kama Mwalimu.

Anonymous said...

Mdau wa 12:24 hebu achaha ushamba! Hiyo picha ni Black & White!