Saturday, May 24, 2008

Mkutano wa International Gospel Church

Hizi ni baadhi ya picha nilizopiga jana jioni kwenye mkutano mkuu wa International Gospel Church huko, Chelsea, MA. Unahudhuriwa na wageni /waumini wengi kutoka nchi mbalimbali.

Kesho ni siku ya mwisho wa mktano na sherehe ya kuadhilisha miaka 10 ya kanisa.

Kijana Felix wa IGC akiburudisha wakati wa kutoa sadaka

Pastor Jared Mlongecha akitafsiri maneno ya Evangelist Clint Rodgers

Evangelist Clint Rodgers akiongea na moja wa waumini aliyetoka Maryland
Evangelist Clint Rodgers akisoma kutoka Biblia

Wachungaji na waimbaji, 'Les Mas' kutoka Ubelgiji

Evangelist Clint Rodgers akielezea jinsi alivyokoka na kumjua Bwana Yesu

Baadhi ya washiriki./waumini wa MkutanoWachungaji kutoka Canada

Mchungaji Joel na mke wake Hilda kutoka Birmingham, Alabama

Felix wa IGC akiburudisha waumini kabla ya Sermon

9 comments:

Anonymous said...

Hawa evangelist si ndio ma extremists, wanaosema watu huku marekani.

Wanatafsiri biblia vibaya, na wana quote misemo yao from virtual bible, (not existing bible). Kama huyu pastor wao mkubwa kabisa Hagee, ambae amesema "Catholics ni malaya wakubwa", Hitler ameletwa kusaidi majews waende promise land palestine, mabalaa ya ukimwi na mengine Africa, ni vizuri kuwepo ili kusaidia kuja kwa Yesu.

Sasa hivi sasa wanaanza kuwadanganya mimi na wewe kwenye black churches.

Ndio malobbysts wakubwa wa AIPACC, wanapush ideological agenda kwenye senate, congress na kwengineko..

Anonymous said...

Mbona kwenye ibada wazungu hawatubagui sisi weusi. Lakini kwenye masuala mengine wanasahau kuwa sisi ni wenzao katika imani. Sisi kina chemi inabidi tujiulize kwa nini hali iko hivi? Daima wazungu ni opportunists

Anonymous said...

Bwana Asifiwe Sana! Nasikitika sikuweza kuhudhuira.

Mdau, North Carolina

Anonymous said...

Inaeleka akuwa uchungaji ni kazi inayolipa sana

Anonymous said...

Naomba kusaidiwa hivi ni kwa nini makanisa yanayoongozwa na waafrika hayana waumini wazungu wengi? Unakuta yamejaa weusi tu hata yawe Ulaya,Marekani,Asia,au Afrika utakuta akiwa mchungaji mwafrika wazungu hawasali wanajaa waafrika tu.Mzungu akija ujue kaalikwa kuhubiri.Kwa nini?

Mfano Kenya na Tanzania maeneo kama Nairobi na Dar es salaam kuna wazungu wengi tu lakini huwaoni wakisali makanisa ambayo watu weusi ni wachungaji au mapadri ni kwa nini?

Lazarus Mbilinyi said...

Sababu mojawapo ya makanisa mengi ya wachungaji weusi kuwa na idadi kubwa ya weusi ni kwa sababu sisi weusi wenyewe tunapenda sana kusali makanisa ambayo mchungaji ni mweusi mwenzetu, pia katika ibada weusi wengi huwa na aina moja ya kusifu na kuabudu ambayo huwafanya kujisikia raha zaidi kuliko akiwa na wazungu, katika kusali kuna kuimba na wakati mwingine kuna makanisa hata wanacheza, hivyo kutokana na hili weusi kujiona huru zaidi wanapokuwa pamoja nakuimba nyimbo zenye asili zao pia na wazungu nao hujiona huru zaidi wakiwa na wazungu wenzao.
Nahisi kuna sababu zingine,

Anonymous said...

Wazungu huwa hawaamini watu weusi kama wanaweza kufanya jambo mbele yao.Sijui ikijatokea Obama akaiongoza US itakuwaje.

Anonymous said...

Siwapendi wazungu hasa ubaguzi wao.hata huko makanisani wana ubaguzi tu wanachotaka ni sadaka yetu.

Anonymous said...

Waafrika hamna akili. Haya mambo ya yesu na muhamadi kama mpaka leo mnayaamini tuu! basi kazi ipo