Wednesday, July 09, 2008

70's Boat Party Minneapolis, Minnesota


Hivi karibuni wadau wa Midwest walikumbuka enzi za miaka ya 70 kwa '70's Boat Party' huko Clear Water, Minnesota. Ama kweli walijitahidi kuonekana kama ni 1973! Cheki hizo Afro wigs!
Umoja society, waliandaa hiyo sherehe siku ya 4th of July.

Hapo kushoto ni stelingi wa sinema, Tusamehe, Fundi Kibwana aka Bilantanya, Thomas Kibwana, Yolanda Kibwana, Tuma Mutua, Peter Mutua na Nguzo.

1 comment:

Kibabu said...

Hivi Da Chemi ni kwa nini african-americans hawachani afro kama zamani?