Wednesday, July 02, 2008

Bongoland II itaonyeshwa Zanzibar, Detroit na Chicago


Wadau, nimepata habari kuwa sinema Bongoland II itaonyeshwa hivi karibuni kwenye tamasha la sinema huko Zanzibar. Tarehe kamili sijajua.

Pia itaonyeshwa hapa Marekani kwenye miji ya Detroit (Agosti) na Chicago.

Nitawapa updates nikipata.

2 comments:

Anonymous said...

jamani hii picha mbona siielewi, kwani hawa wana tatizo gani?

Anonymous said...

Ni scene kutoka sinema Bongoland II.