Saturday, July 19, 2008

Portfolio Mpya


Karibuni muone portfolio mpya ya picha. Picha zilipigwa Rhode Island, mwezi uliopita na mpiga picha Debra Gagnon.

http://animoto.com/play/gQ1KkRAFBGb06iR2uKc80w

5 comments:

Anonymous said...

nimeziona chemi, zimetoka vizuri na unapendeza kweli!

Anonymous said...

pendekezo:
unaonaje kama hii picha inayoonekana hapo kwenye hii 'post' ungeitumia pale kwenye 'about me'! Ni nzuri sana!!
(sijui kama nimeeleweka!!?)

Anonymous said...

big up lady you look great,bado haujazeeka.yaani kama vile ulipokua shule ya kisutu..mashallah..keep up and all the best may god bless you always..your an inspiration to our young ladies of bongo...ni mfano wa kuigwa..hongera

Anonymous said...

Cost of 1 man hour ?

Anonymous said...

Kweli una moyo wa kwenda Hollywood! Utafika dada yetu. Mungu akubariki!