Monday, July 21, 2008

Kwa nini sinema za Tanzania zilifanya vibaya ZIFF

Nimeona watu wanaulizia kwa nini sinema ya Bongoland II haikupata zawadi ZIFF, wala hata mention. Sina jibu. Sikuwepo huko ZIFF.

Ila nimeona hii story kwenye gazeti ya Daily News (TZ) leo iliyoandikwa na kaka Michuzi.

Naona Dr. Martin Mhando anasema kuwa ingawa Bongoland II, ilikuwa sinema pekee ya kiTanzania kwenye mashindano ya 'Feature' ina hadithi mbili, ya familia ya Juma na hadithi ya yeye kurudi Bongo. Alisema ni sinema nzuri kwa ujumla.

Haya, niwaulize wadau walioona sinema ya Bongoland II, mliionaje?

**************************************************************************
ZIFF wants more focus to develop film industry

MUHIDIN ISSA MICHUZI in Zanzibar
Daily News; Tuesday,July 22, 2008

The Zanzibar International Film Festival (ZIFF) believes that developing a funding structure to link up with creative capacity and a local distribution structure is the answer if Tanzania's infant film industry is to grow.

The Chief Executive Officer of ZIFF, Dr Martin Mhando, said this in an exclusive interview with the 'Daily News' here yesterday, adding that one of the key problems with African cinema depended entirely on distribution.

"ZIFF has undertaken research looking into distribution hence the Tanzania Film Chain Study Report that was presented at ZIFF 2008", he said, adding: "We hope we can have time to again discuss it at length with our filmmakers with the view of looking into how to link distribution to production", said Dr Mhando at the climax of the 11th edition of ZIFF on Saturday.

On the poor participation of Tanzanian films at the annual festival, the ZIFF CEO expressed deep concern, saying something should be done to reverse the situation as it makes them feel bad about it.

He said the ZIFF plans to begin serious discussions with local filmmakers so that production efforts on the ground were supported. He, however, pointed out that there a need to encourage local filmmakers to see the use of festivals in marketing or at least promoting their films.

"Festivals generally do not need to chase after filmmakers -- the opposite is the case. However ZIFF needs filmmakers just as filmmakers need ZIFF", he quipped. The ZIFF CEO emphasised that to learn how to distribute films internally was paramount to putting the industry on its feet.

Dr Mhando said until Tanzania reached the point that audiences who clamour for the local product are satisfied one can not say the country has an industry. "Therefore let us deal with what distribution structures exist in the country, know who our audiences are and how to reach them and then start making films for those audiences and their distribution structures" he stressed.

On Bongoland II, which was Tanzania's lone nominated entry in the ZIFF 2008, Dr Mhando said it is a good film but had its setbacks on its story board. He said while the juries did not discuss film by film but one of the things that have been said about Bongoland II is that it went well until it began the story of the family's intrigue.

"The family intrigue needed to be brought in earlier and better fused into the script for the film to work. "Currently it looks like there are two stories - about the young man's problems of resettlement and then the family's", he concluded.

5 comments:

Anonymous said...

Da Chemi samahani sana lakini lazima nipingane na Dr. Mhando. Hadithi inahusu Juma na hiyo issue ya resettlement na familia zote zinamhusu Juma. Hivyo anawezaje kusema kuna hadithi mbili umo?

Anonymous said...

Da Chemi hilo cinema la Bonga land II ni baya sijapata kuona looh! Yaani aibu hata kusema kama imetengenezwa na Mtanzania...

Anonymous said...

kwa kweli mimi binafsi nashindwa kuelewa kiteknikali kwa nini sinema ya bongoland mbali na kuwa nominated imetupwa nje kabisa any way sijabahatika kuiona yote lakini niliingia website ya DP wake na kisha niliona sinema za nyuma za kibira kwa maoni yangu ninaweza kusema hivi Kibira anauwezo mkubwa sana wa kuandika script yenye mwelekeo unaotakikana kiteknikali na yule mpiga picha wake kwa kweli siwezi kuwalinganisha na wanigeria au the likes of the "fake pastors" au sinema taka (mtazamo wangu) kwa kiwango chochote kile wako juu sana ninamaananisha kibira hapa yuko juu sana kuliko sinema taka yaani za nigeria,ghana na zile za akina kanumba

pia mimi binafsi ninahoji ufahamu wa hao majaji juu ya mambo ya sinema i have no confidence at all kama hawa majaji wenyewe wanafahamu mambo ya sinema vyema labda yes wana-ufahamu mzuri
lakini ninaungana na bwana martin mhando kwamaba tanzania bado hakuna infastruture ya mambo ya sinema kweli zinahitajika
ili kuinua uwezo kiufundi wa waigizaji na wale woote waliopo nyuma ya kamera aa wale waliopo above the line hata jinsi ya kuriporti juu ya sinema bado nionavyo mimi kuna mapungufu sana kwa waandishi wetu na media kwa ujumla ijapokuwa ni kweli wanajitahidi kwa kadiri ya uwezo wao
raceznobar

Anonymous said...

Mimi nimeiona Minneapolis. Bongoland II ni nzuri mno na inashinda karibu zote za kiafrika ambazo nimewahi kuziona. Lazima kuna kitu siwezi kukubali mambo ya two stories. Nakubaliana na critique mana hizo two stories zilimhusu Juma. Pia Kibira amepata award winning performances kutoka kwa waigizaji wote. Lazima muione!

Anonymous said...

Thanks designed for sharing such a good idea, article is nice, thats why
i have read it fully

My web page ankara matematik