Wednesday, July 09, 2008

Wanaogombea Miss Vodacom TZ 2008


Hao akina dada wanagombea taji la Miss Vodacom 2008. Wamekwenda kambini leo Bagamoyo.
Kwa habari na picha zaidi mtembelee Kaka Michuzi.

4 comments:

Anonymous said...

Wengine wana sumni kwenye miguu.

Anonymous said...

Mimi natabiri huyo mrefu kuliko wote ndiye atashinda.

Anonymous said...

mh huyo mwenye mabuti nae ah!!lol

Anonymous said...

hayo mabuti yanaficha sumni kwenye miguu.