Monday, July 14, 2008

Kanumba Bongo


Kaka Michuzi, hivi karibuni alibahatika kukutana na wacheza sinema maarufu wa Bongo, Steven Kanumba na Ray. Alipiga picha hii huko Msasani Club. Cheki Kanumba anavyoonekana sasa...very handsome na hiyo ndevu!
Kuona picha zaidi mtembelee Kaka Michuzi kwa kubofya HAPA.

17 comments:

Anonymous said...

Acha nyege zako wewe!! Unapenda sana vijana wewe bibi. Eti handsome,

Mumu said...

Hivi tangu lini mtu akisema mtu ni handsome au mrembo inamaana ana nyege?

Anonymous said...

Kanumba anaelekea kwenye utu uzima sasa. Sura ya kitoto inamtoka. Huyo Ray anazidi kuwa na sura ya kike.

Wabongo bwana! Wewe anony wa 11:34 kwa hiyo kila mtu anayesema fulani mrembo au handsome ina maana ansikia nyege?

Anonymous said...

Kanumba ameoa?

Anonymous said...

Anon kwanza inaonekana mama yako alikudekeza matusi ukiwa mtoto mdogo. Na kama mama yako hakufanya hivyo, basi ulichelewa kuongea, ndio maana kila neno unapenda kulitamka. Duh, mdomo mchafu kama domo la Mamba lililokula mzoga uliooza!

Anonymous said...

Ndiyo, we annoy wa 1:23. Dalili ya mvua mawingu.Mtu mwenye nyege huona watu wote wazuri, kumbe nyege.......

Anonymous said...

maskini kanumba kwanza ni nadra sana kukutana nae mahali maana huwa ni mtu wa kujificha na mwenye aibu kama demu,lakini aonekanapo kila mtu humkubali kuwa ni handsome,ni kweli ni handsome na huo mwlili sijui anafanya mazoezi kama ananyanyua vyuma vile au macho yangu?

Anonymous said...

YUKO SEXY NA HANDSOME HUWA NAVUTIWA NAE SANA PIA NA MOVIE ZAKE,NDIO MAANA ALIWAI KUSHINDA KTK LILE SHINDANO LA MASTAA WOTE BONGO WA KIUME WENYE MVUTO KIMAPENZI.HONGRA KANUMBA

Anonymous said...

HUYU KAKA ANA VIPAJI VINGI KUMBE NA MZIKI YUMO....NAWEZA PATA NAMBA YAKE NIMUALIKE KWANGU CANADA?PLZ CHEMI NISAIDIE..NAMPENDA SANA, MAGE CANADA

Anonymous said...

Sasa hv amekua mkaka wa maana na wa nguvu,chemi nisaidie kanumba ameoa?ana mchumba?kweli yuko handsome.

Anonymous said...

hivi kwa siku atakua anatongozwa na mademu wangapi huyu kanumba?maana huo u handsome+u star+viela alivyonavyo kwa sasa=?ol in ol nampenda sana huyu kaka.

Anonymous said...

DA CHEMI PLZ KAMA UNA E MAIL YA KANUMBA PLZ NIPE NA JE AMEOA?UKITAKA KUMUALIKA LONDON UANAFANYAJE?JE UNA NAMBA YA MANAGER WAKE?PLZ CHEMI TUSAIDIE TUMA HAMU YA KUMUALIKA ILA HATUJUI TUANZIE WAPI.lucylondon.co.uk....nampenda ile mbaya huyu kaka.

Anonymous said...

kila nikiangalia movie zake huwa najickia nyyyyyyyege,na hiyo picha chemi ndio umeniua kabisa,natamani anishike mkono tu basi wewe kanumba umeoa?

Anonymous said...

jamani acheni kutukana watu msio wajua! watanzania wacheni tabia zisizo na msingi tujaribu kuwa civilised, unamtukana mtu humjui ,hakuusu,na hata si ajabu huna sababu ya kumtukna ! kimya ni jmabo la busara zaidi kama huna cha kusema ,na wala siyo kosa kuwa kimya ,si dhambi pia
yes ,nakiri kuna uhuru wa kujiepress kwa namna yoyote ile unayopenda hukatazwi na ndio maana chemi naye ametumia uhuru wake (sijui kama ni chemi aliyesema juu ya handsome kama siye naomba unisamehe wewe uliyesema suala la nyege)
lakini kwa hekma asilia ni vema tujenge utamaduni wa kuji-express kwa uhuru lakini in a constractive and objective manner yaani kiungwana
upande wa mtu kuwa na nyege kwani ni hoja na hata kama akiamua kuanika nyege zake hadharani ni uhuru wake na ana haki ya kufanya hivyo
Mbona sisi wanaume tunasifia sana hadharani dem bomba .. dem mzuri.. kitu cha nguvu au ,,, doh chemi ana booty la nguvu ...(samahani kam ni offense hii)
yote hayo tuna appreciate uzuri
mimi naamini neno handsome lina exist sababu yes kuna wanaume handsome na ugly na wakawaida nk
unless wewe mtoa maoni uniambie kwamba wanaume handsome hakuna kwenye dunia yetu hiina kam ni kweli basi utakuwa mwongo dhahiri!
haya ni maoni yangu natumia haki yangu ya asili ya uhuru wa kujielezea wewe uliyemshutumu huyo dada kwamba ana nyege unahaki ya ya kunicriticise if you want
mwisho elewa kwamba nyege kwa mwanamke ni sawa tena vizuri kuwa na nyege hakuna kosa wala nini kuwa na nyege ndivyo mwanadamu alivyoumbwa ,siyo cha ajabu especially kama wewe umeshabalehe! watanzania tuache unafiki tunapenda sana kuficha mambo kama mtu ni handsome ni handsome na siyo vinginevyo, na mtu uggly hali kadhalika,mtu akifa kwa gonjwa la ukimwi ni ukimwi tuu na siyo vinginevyo ,kama soccer letu na sinema zetu ni hovyo na hatujiwezi ni lazima tujikubali hiyo hali halisi na tuache kupamba pamba na kutumia lugha za kinafiki
tukubali hali halisi na tuweke mikakati ya kukabiliana na hali halisi ili tuendelee kama hali halisi zinatuonyesha tuna mapungufu na pale ambapo tuna mazuri na tunafanya vizuri si kiubabaishaji though,basi tujivunie mazuri hayo na tuyaendeleze wazi without any reservation
Raceznobar

Anonymous said...

Si uongo Kanumba ni handsome. Na hizo ndevu za ukubwa kweli zinatamanisha.

Anonymous said...

Kanumba sharp, ila huyo Ray anaelekea kwenye u smooth wa kike.

Anonymous said...

Oh Kanumba great Kanumba Denzel Kanumba nakupenda sana. Wewe ni Handsome man namba wani wa Bongo. Da Chemi kakupatia hapo!