Saturday, August 22, 2009

Ramadhani Karim!

Ninawatakia wadau WaIslamu wote Mfungo Mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

3 comments:

Born 2 Suffer said...

Asante tunashukuru mwezi wa kheri amin.

Mzee wa Changamoto said...

Ramadhani ikiwa njema kwa wale waitimizao (sote waIslamu, waKristo, waHindu, waYahudi na wengine) ina maana ULIMWENGU MZIMA UTAKUWA MWEMA. Tukizingatia yafundishwayo katika mwezi huu mtukufu (ambayo hayana mipaka ya kidini) tutatambua kuwa ndivyo tunavyotakiwa kuishi miaka yote na nyakati zote.
Kama ulimwengu ungeamua kuufanya mwezi huu uanzao sasa kuwa wa mabadiliko, ama kuamua kufanya haya mema yafundishwayo katika miezi mitukufu kama hii kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku, TUSINGELIA TULIAVYO KWA MATUSI, KEJELI, WIZI, UBAKAJI, UFISADI, MAUAJI, VITA, MATABAKA, MAKABILA, RUSHWA nk.
RAMADHANI NJEMA KWA ULIMWENGU MZIMA

Nautiakasi said...

Ahsante Da Chami kwakututakia Ramadhan njema. Angalau mwaka huu umetukumbuka na sisi waislam tunaotembelea blog yako mzuri...!