Thursday, May 22, 2008

Kifo cha Mzee Ballali kimetangazwa Rasmi Washington D.C.


Daudi Timothy Said Ballali

Viewing: PrivateService: May 23, 2008 @ 10AM
Location: St. Stephen The Martyr

Daudi Timothy Said Ballali
On May 16, 2008 of Washington, D.C.
Husband of Anna Ballali

Mass of Christian Burial will be offered on May 23, 2008 at 10AM at St. Stephen, Washington, D.C.
Interment Gate of Heaven Cemetery


http://www.devolfuneralhome.com/index.asp?sid=6&formid=102&serviceid=960

REST IN ETERNAL PEACE, Mzee Ballali.

10 comments:

Anonymous said...

Kumbe alikuwa Mkristo! Mungu amlaze mahala pema mbinguni. Amen.

Anonymous said...

where is the body?

Anonymous said...

Kweli tumekuwa WADANGANYIKA!

Anonymous said...

Hivi mmeon hiyo Tangazo? Daudi Ballali of Washington D.C.! No mention of Tanzania!

Anonymous said...

Wanasema viewing ya maiti ni private! Mimi nitaenda na picha nitapiga niwaletee wanablogu!

Anonymous said...

wajameni naomba kuuliza kwani mkewe balali ni mtanzania au? mbona anakataa watu wasiende kutoa last respect? kama mtanzania basi hii mpya.na kama sio mtz siwezi hoji zaidi
Ms Bennett

Anonymous said...

Kumbe alikua mkristo ?? He failed standard 7 exams ? and repeat exams and changed name all together.

He was not forefront in his deeds, thats why people even didnot know what faith he belongs.

Amekufa na siri nyingi, na hayo ndio masikitiko yetu.

Anonymous said...

Anon wa May 22, 2008 2:19 PM, fanya hivyo. Mazishi ya kiana hayo mithili ya mazishi ya Mafios (Mafia)!

Fyatua picha nyingi tuone who attended the funeral!

Anonymous said...

Haya sasa mtasikia Anna Muganda anazidi kutamba Uposhi wake. Hayo mahela atafaidi yeye tu sasa.

Anonymous said...

ana muganda ndo nani