Tuesday, July 15, 2008

Uraia wa Nchi Mbili (Dual Citizenship)

Nimeona hii story ippmedia.com.


Law on dual citizenship coming

2008-07-15

By Bilal Abdul-Aziz, Dodoma

The government yesterday said it was in the process of drafting a new law that would allow Tanzanians to have dual citizenship. Home Affairs deputy minister Khamis Kagasheki told the House that the Union and Zanzibar governments were jointly looking into the matter.

The deputy minister was responding to a question posed by Mwadini Jecha (Wete, CUF) who had wanted to know when the government would table a bill proposing the enacting of a new law on the matter.

``The Union government and that of Zanzibar are carefully looking into the matter. When the process has been completed, my ministry will bring the bill in the House for approval,`` said Kagasheki.

Earlier on, the deputy minister told Parliament that under the Union constitution, dual citizenship was illegal. He said the law denied the people of Tanzania a chance to possess dual citizenship, and their Tanzanian citizenship ceased once they opted for other citizenship.

Kagasheki said the current laws particularly affected Tanzanian children born outside the country, who on reaching 18 years, were required to denounce the citizenship of one of their parents if they wanted to keep the Tanzanian citizenship.

``The system is not much known by our people. For that reason, at times, children encounter problems when they apply for passports or seek sponsorship for higher education,`` he said.

SOURCE: Guardian

6 comments:

Anonymous said...

Muda umefika wa kuruhusu uraia wa nchi mbili. Kwanza ni wabongo wengi walioko nje ya nchi na wengi wamezaa watoto huko. Kutokana na hiyo sheria finyu watoto wananyimwa haki ya kudai urithi wa mababu zao. Hebu fikiria nchi kama Nigeria ina dual, mbona nchi haijaathirka!

Anonymous said...

Watoto waliozaliwa Bongoni na hao wa nje wapige kura tuone wengi ni wakina nani!

Wengi wape!

Waziri mzima anatwambia eti kuna watoto wa walizaliwa nchi za nje!!!!!!!!!! What a crap of kupendelea minority interests)!

Hao watoto waliozaliwa nchi za nje waendelee hivyo hivyo, who cares!

Wakikua wakipenda kuwa wa ughaibuni, shauri yao!

Uraia ubakie wa nchi moja tu.

Hatutaki walioiba mapesa wazidi kuyaiba na kuyapeleka nchi za nje kwa hao watoto wao au wale waliokimbilia nchi za nje!

Kwa mfano, yaani watoto hao wawe Waamerika halafu waingie jeshini. Siku ikifika ya Tanzania kuchokozana na Amerika, watoto hao wenye uraia wa pande mbili, waliomo katika jeshi la Amerika waje kuipiga Tanzania au nchi ya Kiafrika yeyote!

Upuuzi mtupu huu!

Anonymous said...

Wenye wivu utawajua tu (6:44am)! Nawe nenda nje ya nchi halafu uzae mtoto huko. Tuone utasema nini! Huo ni upuuzi kuwa na fikra finyu. Dunia inabadilika. Kwa nini watu wanyimwe 'identity' yao? Hakuna ubaya kuwa na uraia wa nchi mbili, mbona kuna watu wenye uraia wa nchi tatu!

Anonymous said...

Watanzania hawaeleweki kuna wakati wanazungumza ya maana wakati mwingine unajiuliza kama kweli zote zipo. (sorry)

Dual citizenship ni kitu cha kawaida kwa mataifa mengi hata ya kiaafrica. Sema tu basi Tz kila siku wa mwisho hata TV wakati Kenya?Uganda walikoua nayo sisi walaaaa....pole zetu jamani

Anonymous said...

Huo sio wivu ila ni kuwa na upeo finyu kimawazo kutoelewa mabo pia! Uraia wa nchi mbili hautasaidia katika mambo ya watoto tu ila katika nyanja mabalimbali kama uchumi na biashara,usafiri nk.
swala hapa ni kwamba hiyo sheria itapitishwa baada ya miaka mingapi?

malisa

Anonymous said...

pia sheria iwe inaangalia pande zote na roots kamili za hao watoto wazaliwa,isije ikwa wadosi wakatumia advantage,kujaza nchi yetu kwa madai wao pia ni wabongo na kudai dual nationality,kwani huku bongo kununua cheti kwa wadosi na waarabu ni kitu rahisi.si mnaujua bongo kwa rushwa?mtu crate moja ya mayai anauza nchi yake kwa wasomali na wahindi,waethiopia......dawa ni kuwa na ids za nchi kwanza kabla ya zoezi la dual nationality