Wednesday, March 25, 2009

Haki Miliki


Kutoka Mzee wa Sumo Blog:

Jamani wabongo wezi yaani mshikaji amekaa na laptop anasubiri chinga anayeuza CD anatoa sh 500 anakopy miziki na movies! Kweli kwa jinsi hii wasanii wetu watafika?

*********************************************************

Wadua, hapa Marekani ukikutwa unafanya piracy unapigwa faini ya maelfu ya dola! Wasanii wanatakwa walipwe na kuna sheria za kuwalinda. Bongo bado, wamepiga hatua lakini bado! Naona akina Dr. Remmy wamelipwa residuals, je, wajukuu wao watarithi haki ya kupokea?

6 comments:

Anonymous said...

Bongo ni Bongo. Hakuna cha haki wala haki miliki!

Anonymous said...

Kweli watu wanaishi kwa bongo kwi, kwi, kwi, kwi! Kwa nini ninunue CD ya 5000/- wakati nawez kuipata kwa shs. 500/- tu!

Anonymous said...

hapo ni wapi tukamkamate?

Anonymous said...

Dada Chemi suala la intellectual property hapa bongo bado halijaeleweka, sheria imelegea sana katika jambo hilo, na hapo ndipo kwenya tatizo!

Anonymous said...

Ni sahihi kabisa (in terms of moral groung) kukopy miziki ya kimarekani. Siwasapoti wanaokopi miziki ya wasanii wa ki-bongo.

Nawewe Chemi usijifanye askari kanzu wa marekani, kama imekuuma sana saga chupa ubwie.

Anonymous said...

Dah! Yaani wanafanya hivyo wazi wazi!